Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea wakiendelea kushambulia Alonso anakuwa kwenye anga zake na Kepa anageuka kuwa Golie mzuri sana
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Screenshot_20210215-233515.png
 
Tuchel hawafahamu vizuri Alonso na Kepa, ngoja waanze na matukio
Matukio ya alonso huwa yanaonekana kweny tunapocheza na mabeki wa 4 ila tukicheza na mabeki wa 3 na 2 wingback sidhan km kuna mtu anaweza kumuweka alonso nje

Kepa sii mbovu sema ni confidence yake tu ilishuka
Wakati wa sarri alicheza vizuri sana ila kwa lampard mambo ndio yalibadlika
 
Na iwe hivyo ila jana Kepa hakupata majaribu yeyote ya maana. Kuhusu Alonso ni kweli kwa sababu jana alicheza kama no. 10 tungeshambuliwa seriously ndio ungeona mapungufu ya Alonso huku nyuma, kule mbele sina shida naye. He is good in attacking lakini defensively bado nasema Alonso hajabadilika. Muhimu la kufurahia timu imepata point 3 na cleansheet juu
 
Hamuwezi ingia top 4 sababu hiyo nafasi ya nne ni ya westham kwa wiki hii [emoji1787][emoji1787]

Naona unasubiri tufungwe urudi kupiga kelele kwenye uzi wetu. Juzi umefingwa tena na West Brom aliye nafasi ya 21 kwenye Ligi kuu uingereza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi Timo Werner angefunga nafasi zote alizozikosa ingekuwaje. Kwa sasa angekuwa kwenye magoli 20+
 
Jana Werner kacheza kizalendo kweli kweli, kafanyiwa rafu za kinyambisi halafu hata refa anajifanya hajaona. Well done Timo
Katika mechi 4 zilizopita werner kacheza vizuri, anaweza kuwa asifunge ila kwa namna moja au nyingine amekuwa involve kwenye magoal yetu katika mechi 4 kam sijakosea zilizopita katika league
 
Na
Matukio ya alonso huwa yanaonekana kweny tunapocheza na mabeki wa 4 ila tukicheza na mabeki wa 3 na 2 wingback sidhan km kuna mtu anaweza kumuweka alonso nje

Kepa sii mbovu sema ni confidence yake tu ilishuka
Wakati wa sarri alicheza vizuri sana ila kwa lampard mambo ndio yalibadli
Na kocha sio kupanga koni Tu uwanjani na kutoa maelekezo lkn pia unyanyue viwango vya wachezaji na uwape morali👏
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom