Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

UEFA WADAI
Magoli ya ugenini yatahesabiwa hata kama mechi zinachezwa ugenini
 
Fafanua vizuri tafadhali Chifu

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
Kuna baadhi ya team azichezi kwenye uwanja wao mfano mzuri atlectico Madrid kutokana na janga la Corona so wamepangiwa viwanja vingine ambavyo vitatumika Kama home stadium so mdau anamaanisha Kama wataruhusu magoals kwenye hizo stadium zitahesabiwa Kama Ni magoals ya away
 
Umeeleweka Kaka

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
 
Goli la Werner hata mm naweza kufunga tena kwa urahisi kabisa .pia nisingeshangilia
 
Mpaka sasa hivi baada ya mechi 5 za Ligi na FA Cup, Tuchel hajafungwa goli hata moja na mchezaji wa timu pinzani, goli pekee alilofungwa Tuchel ni lile la Rudiger. Hongera Tuchel
 
Mpaka sasa hivi baada ya mechi 5 za Ligi na FA Cup, Tuchel hajafungwa goli hata moja na mchezaji wa timu pinzani, goli pekee alilofungwa Tuchel ni lile la Rudiger. Hongera Tuchel
Du hyo inasaidia nni ssa mkuuu ajipange ache utoto apange timu nzuri na awe na mbinu
 
Champions League football is back... Chelsea are once again, the only London club left in the competition.

We’re also above every other London club in the Premier League table, and the only London club left in the FA Cup.
Hizi tambo za ukubwa pale London ni zamu zamu. Tumewaacha mkae juu muda mrefu kidogo, msije mkaanza kujisahau. Top four kuna nafasi yetu moja pale. Nawakumbusha tu kuwa majeruhi wetu wanaanza kurudi na pia hatuna big games za kututisha huko mbele.

#COYS
 
Adjustments.jpg
 
Chelsea wanawake tumepangwa na Atletico De Madrid kwenye round of 16, naona tuna bahati na Atletico mwaka huu

UEFA WOMEN'S CHAMPIONS LEAGUE

Women's Champions League last-16 draw: Lyon face Brondby, Chelsea take on Atletico Madrid

Haw wakinamama wanabonda kweli kweli hawana shughuli ndogo
 
Hizi tambo za ukubwa pale London ni zamu zamu. Tumewaacha mkae juu muda mrefu kidogo, msije mkaanza kujisahau. Top four kuna nafasi yetu moja pale. Nawakumbusha tu kuwa majeruhi wetu wanaanza kurudi na pia hatuna big games za kututisha huko mbele.

#COYS
Kaza walau uingie top six ndio uanze kuwaza top four.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom