Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 13,280
- 21,700
Wenye vyenu mnashika nafasi ya ngapi?Wazee wa Leasing,naskia hadi mashabiki mlianza kwa kukodisha ,dah nyie wazee hatari
Wenye vyenu mnashika nafasi ya ngapi?Wazee wa Leasing,naskia hadi mashabiki mlianza kwa kukodisha ,dah nyie wazee hatari
Nakuunga mkono kwa asilimia 💯 Kovacic Ni mtu na nusuNaona wengi hamjajua lakini mchora ramani za vita pale chelsea ni kovacic.... huyu ndie mchezaji hatari kwa sasa pale chelsea
Halafu kocha alikua namwekaga benchi?!!Kwa shabiki anayejua mpira huwezi acha kumtaja Kovacic. Washambuliaji kule mbele wanacheza comfortable kwa sababu nyuma yao kuna transformer zinafanya kazi.
Mount - Kante - Kovacic
Kovacic ni mzur sanaKwa shabiki anayejua mpira huwezi acha kumtaja Kovacic. Washambuliaji kule mbele wanacheza comfortable kwa sababu nyuma yao kuna transformer zinafanya kazi.
Mount - Kante - Kovacic
Kovacic ni mzur sana
Sema sio mchezaj anaeweza kupa assist 10 or goals10
Tusimsahau kai
Kovacic na Kai wanacheza nafasi mbili tofautiKovacic ni mzur sana
Sema sio mchezaj anaeweza kupa assist 10 or goals10
Tusimsahau kai
Mtoto kalegea sana yule, sijui ligi kama ataiweza.Kovacic ni mzur sana
Sema sio mchezaj anaeweza kupa assist 10 or goals10
Tusimsahau kai
Leo tuna jambo letu na Leeds.!Nipoo babe sis 😍😍
Hivi huyu akijitoa na wale wenye uwanja wakaubeba nyie mwabaki na Lampard tuBoss kama bossView attachment 1642197
Mwinyi zahera yupo Gwambina lampard yupo Chelwowo! Uchawi upo60% za Losses amechangia Lampard.
Nchimbi yupo Yanga lakini Lacazigo yupo Arsenyeto kweli uchawi upoMwinyi zahera yupo Gwambina lampard yupo Chelwowo! Uchawi upo
Hivi huyu akijitoa na wale wenye uwanja wakaubeba nyie mwabaki na Lampard tu