He made another clean sheet 😍🔥🔥
Screenshot_20201028-234346.png
 
Kubishana na wewe ni kujidharaulisha tu.
Ni wewe kiazi ndiyo usiyejua kitu, kwani hao waliopanga makundi ya UCL si waliona team ina deserve?

Hujui kitu keep quit, sio lazima na wewe uonekane umetype comment yako.
Kama vipi njoo kwa PM nikupe ndonga za pesa.
Nina imani Ollachuga hata mind mimi kuwa shemeji yake.
 
Werner ateuliwe kama mpiga penati rasmi wa timu. Ile penati ya Werner ndio aina ya penati tunazozitaka za kibabe na ufundi wa hali ya juu.

Joginho hayuko serious na penati zake za kivivu kurukaruka bila sababu ya msingi.
Yaani anapiga kama Hari Kane, safi sana. Upigaji wa Jo mimi siupenda, Kipa mzuri anadaka.
 
Werner ateuliwe kama mpiga penati rasmi wa timu. Ile penati ya Werner ndio aina ya penati tunazozitaka za kibabe na ufundi wa hali ya juu.

Joginho hayuko serious na penati zake za kivivu kurukaruka bila sababu ya msingi.
Mbona penati zake nzuri tu man..imetokea bahati mbaya imegonga post lkn alikuwa kamuuza kipa vizuri tu....Bruno ,jorghino n moja ya penalty takers wazuri EPL
 
Back
Top Bottom