Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

jamaa muongo we hiyo VPN yako itakua ya kishimundu Werner yupo ndani acha zako
Unaongea bila kufanya utafiti
IMG_20201031_180926.jpg
 
Zouma ndio kabakia huko nyuma anafanya silly mistakes
Havertz anafuatia. second half wajirekwbishe tuongeze mabao tumalize game mapema
 
Naona mid ya kante kama dm na mount kama cm na kai kama no 10 team inacheza vizuri
Big money inaanza sasa kuleta matunda, kuna mtu alibwabwaja maneno hapa na kusema Chelsea inafungwa ikicheza 433. Hii formation ndio inamfaa FL kama anataka timu ifunge magoli
 
Big money inaa za kipa sasa kuna mtu alibwabwaja maneno hapa na kusema Chelsea inafungwa imicheza 433. Hii formation ndio inamfaa FL kama anataka timu ifunge magoli
Kama uliangalia game ya uefa tulianza na 4231 baada ya 60 kuingia kwa mount na kante na kutoka kwa jorg na kova tukaanza kucheza 433 na tukacheza vizuri na tukascore 3 goals
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom