Hoja yako ni nini hapo? Mbona hueleweki unasimamia wapi? Unakumbuka mfano huu muliukataakipindi tunajadili masuala ya fan base! Mliposema chelsea ina mashabiki wengi kuliko Arsenal na mukitumia kigezo cha mitandao ya kijamii!
Nikakataa kwasababu hata mimi nimeifollow Chelsea, Liverpool, na Manchester united lengo likiwa ni kupata habari japo sishabikii timu hizo, lakini nimeongeza idadi ya followers,

Hoja hizi zina madhaifu

Sent from my DUB-LX1 using JamiiForums mobile app
Katika research hizo ni anomalies ndogo sana na hazitaaffect general results. Watu wanaofuata timu ambazo aio zao ni wachache mno na wasoio na msimamo kama wewe
Njia pekee reliable ya kuestimate fanbase ya timu duniani ni social media nothing else. Ukija na njia nyingine rahisi na reliable zaidi ya hiyo nitafunga domno langu kabisa
 
Sasa kwa nini meshabiki wa Arsenal hamtaki kufollow account za timu yenu kwenye mitandao?
 
Hizi mada huwa wanakimbia wenyewe
 
Ni sababu ndogo kwako labda, then sababu gani inakufanya useme mimi sina msimamo? Kwahiyo mimi kama ni shabiki wa Arsenal siwezi kuifollow official account ya Barcelona kwa lengo la kuhabarika kisoka?
Mimi ni mtu wa soka na ndio maana suala la kuangalia game za timu tofauti na ninayoshabikia ni kawaida, nyinyi ndio wale kwakuwa unashabikia yanga basi gari za kimara kkoo hupandi sababu zina mstari mwekundu,

Sent from my DUB-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Sasa kwa nini meshabiki wa Arsenal hamtaki kufollow account za timu yenu kwenye mitandao?
Hizo ni personal interest mzee, mwingine sio mdau kabisa social networks,
Na ikumbukwe hizi social networks zimekuja miaka ya hivi karibuni,

ulishawahi jiuliza hapo kabla walitumia vigezo/njia gani kukusanya hizo sampuli?

Ulishhajiuliza kwanini Liverpool wana wafuasi wachache katika SN kuliko chelsea japo kulinganisha hizi timu ni mbingu na ardhi si kwa ukubwa wa klabu kimafanikio wala ukongwe,

JIBU: chelsea ni timu ndogo iliyochipuka zama za Instagram na Facebook na ndio maana wafuasi wake wengi ni wa nyakati hizi, washabiki wake wengi ni wadau wa hiyo SN,
Baba yangu, uncle zangu 99% ni washabiki wa liver, man na arsenal kidogo na sio watumiaji wa SN.....

Sent from my DUB-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Wewe ndugu utakua mshamba sana. Labda ni kwambie kwa ufupi nina jezi ya Chelsea, Everton, Leicester, Liver, Yanga, Roma, Madrid. Jiulize tuko wangapi tunaonunua jezi tofauti tofauti kama mimi.

Hizi mada za mashabiki tukianzisha huwa mnakimbia wenyewe pamoja na kuwaletea sources zote. Inatosha mimi nimechoka
@lembu soma hii comment ya nduguyo kisha ulinganishe na unachokitetea

Sent from my DUB-LX1 using JamiiForums mobile app
 
@lembu soma hii comment ya nduguyo kisha ulinganishe na unachokitetea

Sent from my DUB-LX1 using JamiiForums mobile app
Majibu ni kwamba manunuzi ya jersey haiashirii ndio una mashabiki wengi. Ila swala mitandao ni linaingia kupima fanbase ya club kwa saba mitandao ipo mingi Instagram, Twitter, Facebook kwanini Madrid iongoze kuwa na followers wengi kuliko club nyingine?

Lakini kwenye issue ya jersey ni mapenzi ya mtu tu. Mimi kuwa na jersey zote hizo haimaanishi ni shabiki wa timu zote izo ila inawezekanaje nika follow Madrid Istagram, Twitter na Facebook na wakati mimi siyo shabiki wa Madrid! Sijui kama point yangu unaipata.
 
Hizo ni personal interest mzee, mwingine sio mdau kabisa social networks,
Na ikumbukwe hizi social networks zimekuja miaka ya hivi karibuni,

ulishawahi jiuliza hapo kabla walitumia vigezo/njia gani kukusanya hizo sampuli?

Ulishhajiuliza kwanini Liverpool wana wafuasi wachache katika SN kuliko chelsea japo kulinganisha hizi timu ni mbingu na ardhi si kwa ukubwa wa klabu kimafanikio wala ukongwe,

JIBU: chelsea ni timu ndogo iliyochipuka zama za Instagram na Facebook na ndio maana wafuasi wake wengi ni wa nyakati hizi, washabiki wake wengi ni wadau wa hiyo SN,
Baba yangu, uncle zangu 99% ni washabiki wa liver, man na arsenal kidogo na sio watumiaji wa SN.....

Sent from my DUB-LX1 using JamiiForums mobile app
Ni sawa na kusema Juma Nature, AY, FA wana mashabiki wengi kuliko Diamond eti kisa Diamond kaibuka kipindi ambacho kuna SN. Hao kina FA na AY mpaka sasa si wanafanya muziki kwa nini nawao wasifikie level alizonazo Diamond? Jibu unalokuja kupata kwasasa watu wanatazama current issue watu wanataka kuona kwa sasa unafanya nini na ndicho kinachompa Diamond mashabiki wengi lakini haiondoi ukweli kuwa kabla yake walikuwepo wenzake wakang'ra na sasa ni wakati wake.

Ukizungumzia wazee kwan hao wapo kwenye hizo timu zenu pekee?
 
Tofauti kabisa, hao unaouzungumzia kina Juma Nature, FA, AY wanafanya mziki serious? Wengi wamejikita katika shughuli nyingine tofauti zinazowaingizia vipato na muziki wanafanya for fan au ku-maintain popularity inayofanya wasisahaulike ktk jamii,
Huwezi fananisha diamond na prof J kimuziki kwa sasa, au Sugu na Country boy tofauti yao hao wengine wanafanya mziki kazi ila wengine wanafanya mziki burudani,
Kama utaorodhesha nyimbo ambazo hao kina AY wamezitoa mwaka huu sawa, kama ni kinyume na hivyo basi mfano wako ni batili,

Maana hizo timu zipo katika ushindani kwa generations,

Alafu usifananishe muziki na soka, mfano Simba na Yanga zipo enzi na enzi toka kipindi cha kina Marijani Rajab wamepita wengi sana na kupotea katika ramani, mpaka leo kuna kina Zuchu lakini Simba na yanga hazijawahi kutetereka.

Sasa si ndio sawa na nyie Arsenal siwaoni kama mpo serious na mpira mpo mpo tu nadhani mna shughuli nyingine mmejikita nazo halafu leo hii unataka ufananishe na sisi.
 
Uachage bange
giphy.gif

Sent from my DUB-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Kesho hatutokuwa na thiago silva, anapumzishwa kwa sababu ya safari ndefu aliyekuwa nayo
No mendy kwa sababu ya majeruhi aliyoyapata kutoka nat team

Ziyech amerudi na anategemewa kuanzia bench

Chilwel,kante wote wako fit kwa mchezo wa kesho
 
Tunasikitika kutokuwepo kwa wachezaji wetu tegemezi kama Djenepo na Armstrong kwenye jeshi la So'ton kesho.

Ila sio mbaya, bado tunalo jambo letu kesho, tunawashikisha ukuta hapo hapo kidarajani
 
We arsenyeto jiandae kesho kipigo ha kikwepeki
 
Back
Top Bottom