Kai leo alikuwa anatokea pembeniMagoli matatu ya Ujerumani yalikuwa hivi
Kwa maneno mengine magoli yote matatu, Chelsea forward wamehusika
- Timo Werner Assists ya Havertz
- Havertz solo goal
- Serge Gnarby Assists Werner
Japo alipangwa false no 9 lakini naona yeye anapenda zaidi kucheza akitokea winga wa kuliaKai leo alikuwa anatokea pembeni
Hii kitu angekuwa amefanya lamps watu wengi wangeongea
Akiendelea kupata mechi mbili tatu naamini atatulia zaidi. Naona bado ana wenge pamoja na kuaminiwa na Low though kwa Lampard itamuwia vigumu kuja kuanza moja kwa moja. Nawaona Zouma na Silva wakiendelea kucheza pamoja.Itamchukua muda mrefu Rudiger kurudi kwenye first team ya Lampard,
Kwenye national team, Rudiger kaonyesha bado hana concertation anapokuwa hana mpira. Poor marking anakuja kushtuka magoli yameshatinga nyavuni
Wakati vijana wa Chelsea kule mbele (Timo na Kai) wamefanya kweli, huku nyuma Rudiger anashindwa kuelewana na CB mwenzako Ginter na kuachia nafasi kubwa kwa Suitzeland kufanya wanavyotaka. Yaani hadi akina Xhaka na Shaqiri wanatamba mbele ya akina Kroos
- Goli la kwanza la Suit baada ya kuondoa mpira wa kona Rudiger anaacha kumfanyia marking mfungaji na anafunga kwa urahisi
- Goli la pili baada ya mpira mbovu kutoka kwa Kroos, tena Rudiger yuko nje ya position na kurahisisha goli naman hiyo, very simply
- Goli la tatu mashabulizi yanatokea kulia upande wa Rudiger pamoja na kipa kujitahidi kuzia, mfun gaji anaachiwa nafasi ya kushoot anavyotaka
Hoja yako ni nini hapo? Mbona hueleweki unasimamia wapi? Unakumbuka mfano huu muliukataaWewe ndugu utakua mshamba sana. Labda ni kwambie kwa ufupi nina jezi ya Chelsea, Everton, Leicester, Liver, Yanga, Roma, Madrid. Jiulize tuko wangapi tunaonunua jezi tofauti tofauti kama mimi.
Hizi mada za mashabiki tukianzisha huwa mnakimbia wenyewe pamoja na kuwaletea sources zote. Inatosha mimi nimechoka

kipindi tunajadili masuala ya fan base! Mliposema chelsea ina mashabiki wengi kuliko Arsenal na mukitumia kigezo cha mitandao ya kijamii!Kumfananisha Drogba na Henry ni kumdhalilisha Henry,pretend wewe basi maana Drogba ana EPL 4 Henry anazo 2 naona hili hili hukuliona katika comparison zako.
Tupretend wote(mimi na wewe) Drogba anazo 2 nayeye hizo 2 nyingine pretend ni za kuokota. Naomba tusizungumzie FA Cup tupretend walikua hawashiriki![]()
Kigezo social networksHadi mwezi July 2020 hizi timu 5 bora ndizo zinazoongoza kwa mashabiki duniani , kama timu yako haipo hapo kachongeni midoli itaongeza namba
Real Madrid – 225m
Barcelona – 217m
Manchester United – 127.5m
Juventus – 83.8m
Chelsea – 82.2m






Kwa hiyo mna points 3 kibindoniMagoli matatu ya Ujerumani yalikuwa hivi
Kwa maneno mengine magoli yote matatu, Chelsea forward wamehusika
- Timo Werner Assists ya Havertz
- Havertz solo goal
- Serge Gnarby Assists Werner


Ulitaka itumike kigezo kipi? Profesa wa research unajua kuliko wengine
Timo Werner adai alipokuwa mtoto na mpaka anakuwa hakuwahi kuziona timu nyingi za EPL kwa sababu baadhi aliziona kwenye UEFA Championship. Anadai timu kama Chelsea na Man United ndizo mara nyingi alikuwa akiziona na kwa hiyo anawahusudu sana akina Lampard, Drogba, Ashley Cole na Petr Cech
Vichekesho kama hivi tunabonyeza ngapi? Acha kuchekesha watu, hana jeuri ya kuikataa Arsenal huyo, tulikuwa na na mpango na PARTEY sio huyo, una partey, joginho anacheza wapi?Chelsea waandaa kumshangaza Jorginho kwa mkataba mpya baada ya Jorginho kukataa ofa ya kuhamia Arsenali
Ukweli siku zote unauma kama sindano
🤣🤣🤣🤣🤣Ukweli siku zote unauma kama sindano
Sasa wewe ndio unatakiwa umkosoe menzieo aliyesema Arsenal ndio imeongoza kwa uuzaji wa jersey nami nikamjibu hivyo.Hoja yako ni nini hapo? Mbona hueleweki unasimamia wapi? Unakumbuka mfano huu muliukataakipindi tunajadili masuala ya fan base! Mliposema chelsea ina mashabiki wengi kuliko Arsenal na mukitumia kigezo cha mitandao ya kijamii!
Nikakataa kwasababu hata mimi nimeifollow Chelsea, Liverpool, na Manchester united lengo likiwa ni kupata habari japo sishabikii timu hizo, lakini nimeongeza idadi ya followers,
Hoja hizi zina madhaifu
Sent from my DUB-LX1 using JamiiForums mobile app
Sasa mtag mwenzio aliye leta hiyo comparison ya Henry na Drogba. Hivi nyie mnashida gani mnaleta mada wenyewe halafu mnakanana wenyewe.Kumfananisha Drogba na Henry ni kumdhalilisha Henry,
Sent from my DUB-LX1 using JamiiForums mobile app