DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,871
Cheltako ni mavi tuWe arsenyeto jiandae kesho kipigo ha kikwepeki
Cheltako ni mavi tuWe arsenyeto jiandae kesho kipigo ha kikwepeki
lembu jinsi nilivyoisikiliza press conference ya Lampard game ya leo tutegemee Mount kuanzaTop 10 most valuable clubs in the world
1. Liverpool (£991.08m)
2. Manchester City (£971.64m)
3. Barcelona (£790.65m)
4. Bayern Munich £782.06m
5. Paris Saint-Germain £772.88m
6. Real Madrid £769.50m
7. Chelsea £760.41m
8. Manchester United £719.87m
9. Atletico Madrid £661.95m
10. Tottenham £660.20m
Hakuna shabiki asiyependa Mount aanze, yuko kwenye formlembu jinsi nilivyoisikiliza press conference ya Lampard game ya leo tutegemee Mount kuanza
Akimuanzisha mount rythm ya team itatibuka anatakiwa aanze alipoishia kwenye ile game na crystal pslaceHakuna shabiki asiyependa Mount aanze, yuko kwenye form
Asipofunga anaasist na asipoassist anaanzisha move itakayozaa goli. Hata kwenye timu ya taifa kaonyesha kuwa anaweza kufanya hivyo
Hata hivyo squad ya Chelsea inaanza taratibu kuwa pana. Karibu wote wanaokaa benchi wakianza ni sawa tu. Odoi yuko onfire, jorginho naona anaanza kuwa kwenye form. Strikers wote wawili, Giroud na Tammy wako vizuri. Ambaoi bado hawako vizuri ni Tomori na Rudiger, still wana silly mistakes zisizotakiwa wakati wa kujilinda
ziyech leo anaanzia benchi timu ya taifa kacheza fill ,30 akiwa Chelsea alucheza mechi moja nayo hkumlza so tngu asajiliwe hajacheza mech ya kimashindano
National team ziyech alicheza dk 30 tu tena alitokea bench, na mech ya leo kama ulimskia lamps anasema ziyech yuko fit ila ataanzia benchziyech leo anaanzia benchi timu ya taifa kacheza fill ,30 akiwa Chelsea alucheza mechi moja nayo hkumlza so tngu asajiliwe hajacheza mech ya kimashindano
Leo atanza bench
Kwan Mount ana shida yoyote hata akianza?lembu jinsi nilivyoisikiliza press conference ya Lampard game ya leo tutegemee Mount kuanza
Kuna katimu flani hivi kanaitwa sijui Arsenal8, mbona sikaoni hapo?Top 10 most valuable clubs in the world
1. Liverpool (£991.08m)
2. Manchester City (£971.64m)
3. Barcelona (£790.65m)
4. Bayern Munich £782.06m
5. Paris Saint-Germain £772.88m
6. Real Madrid £769.50m
7. Chelsea £760.41m
8. Manchester United £719.87m
9. Atletico Madrid £661.95m
10. Tottenham £660.20m
Hii sio Aina ya game inayomuhitaji mountKwan Mount ana shida yoyote hata akianza?
Kwa viungo huwezi kusema ivyo labda kwa washambuliaji. Mount yuko form acha aanze tuHii sio Aina ya game inayomuhitaji mount
Kama akianza unazani Nani atakaa benchi?Kwa viungo huwezi kusema ivyo labda kwa washambuliaji. Mount yuko form acha aanze tu
Kama akianza unazani Nani atakaa benchi?
Havertz anaweza kucheza na Mount. Au mmoja kati yao akaanzia bench then kiungo ikawa na Kante, Kova & Mount/Havertz.Kama akianza unazani Nani atakaa benchi?
Kikosi kishatoka tayari mount kaanza Kama nilivyosema.Havertz anaweza kucheza na Mount. Au mmoja kati yao akaanzia bench then kiungo ikawa na Kante, Kova & Mount/Havertz.
Hii ndio chance ya mwisho ya Kepa akipoteza itakula kwake.Mount na Havertz wote wameanza pamoja. Pulisic ndani ya nyumba na Jorginho. Leo naona mpira wa kushambulia unatandazwa. Long ball za Jorginho zinaweza kutusaidia kupitia Pulisic tukapata magoliView attachment 1603116
Keshapoteza kitambo kapangwa leo kwa sababu Lampard hana namnaHii ndio chance ya mwisho ya Kepa akipoteza itakula kwake.