Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nyny hamna mpira wa kutupakisha basi ss...yaani mje kwetu halafu hako Ka Palmer ndo ka control mechi mbele ya Partey🤠🤠🤠....ona aibu sio unaongea kama amateur kwny mpira...nyny hata angekuwepo hyo kijana wenu kipigo kilikuwa palepale
Andika kitu nilicho andika sijajua shule ulieda kusomea ujinga ,wapi nimeandika ungepaki basi?jifunze tofauti ya buldup from back ,high placing , counter placing , mid block nk
 
Andika kitu nilicho andika sijajua shule ulieda kusomea ujinga ,wapi nimeandika ungepaki basi?jifunze tofauti ya buldup from back ,high placing , counter placing , mid block nk

placing ❎️

pressing ✅️
 
Andika kitu nilicho andika sijajua shule ulieda kusomea ujinga ,wapi nimeandika ungepaki basi?jifunze tofauti ya buldup from back ,high placing , counter placing , mid block nk
Build up from the back..high pressing...counter pressing...mid block...kwa kutegemea mtu mmoja...Cole Palmer...acha upimbi shehe...mechi zte mlizodundwa hyo dogo hakuwepo ukiachana na mechi yetu??...narudi palepale angekuwepo hyo fala wenu msingefanya chchte mbele ya ile midfield yetu siku ile...ww ndo uende shule kutoa huo ujinga....huwezi kutegemea mtu mmoja Ili timu iweze kucheza
 
Pamoja na yote, msimu huu wote tunatoka mikono mitupu. Hapo je nako utabisha?
 
Carlo Ancelotti:
“Kosa wanalofanya makocha wa kizazi kipya ni kuwapa wachezaji maelekezo mengi kwenye mchezo wakiwa wanamiliki mpira.

Hii inaondoa ubunifu. Ni jambo moja muhimu kumuelekeza mchezaji kujiweka kwenye nafasi nzuri timu ikiwa haina mpira, hapo lazima utoe maelekezo mengi, kwa sababu kama mchezaji hana mpira anatakiwa kuwa makini sana, ni concetration inatakiwa hapa, anatakiwa kujitoa sadaka sana na kucheza kama timu kwa pamoja.

Lakini timu inapokuwa na mpira, hapo kinachohitajika ni ubunifu wa mchezaji. mfano, Ikiwa Vinicius au Rodrygo wanajisikia raha zaidi kufungua zaidi kwenye winga wakati timu ina mpira, sitawaambia wakae ndani; kwa sababu ni tafsiri ya mtu binafsi ya mchezo.

Sifanyi hivyo, kwa sababu sitaki kuondoa ubunifu wa mchezaji.”

1715313572314.png
 
Carlo Ancelotti:
“Kosa wanalofanya makocha wa kizazi kipya ni kuwapa wachezaji maelekezo mengi wachezaji kwenye mchezo wakiwa wanamiliki mpira.

Hii inaondoa ubunifu. Ni jambo moja muhimu kumuelekeza mchezaji kujiweka kwenye nafasi nzuri timu ikiwa haina mpira, hapo lazima utoe maelekezo mengi, kwa sababu kama mchezaji hana mpira anatakiwa kuwa makini sana, ni concetration inatakiwa hapa, anatakiwa kujitoa sadaka sana na kucheza kama timu kwa pamoja.

Lakini timu inapokuwa na mpira, hapo kinachohitajika ni ubunifu wa mchezaji. mfano, Ikiwa Vinicius au Rodrygo wanajisikia raha zaidi kufungua zaidi kwenye winga wakati timu ina mpira, sitawaambia wakae ndani; kwa sababu ni tafsiri ya mtu binafsi ya mchezo.

Sifanyi hivyo, kwa sababu sitaki kuondoa ubunifu wa mchezaji.”

View attachment 2986301
Moja kati ya maamuzi mabov aliyowah fanya Roman ni kumtimua huyu mzee
 
Hata kwetu pale ,alitupa Premier league title
Wakat alipokuwepo kushinda hizi 5 zilikuwa kitu cha kawaida. Wakat wake tulikuwa tunafunga kwa magoal mengi

If Abramovic angempa mda huyu mzee nadhan angejenga ngome yake kama ya pep pale, especially wakat ule title ilikuwa either sisi au man u
 
Nadhani sasa hiv Poch angeachana na kuzungumza maswala ya kutimuliwq afocus na mechi zilizosalia wakat alipokuwa anafanya vibaya hakuwa anazungumza hiv wakat huu ambao kama anaanza kufanya vizuri anaaza kuleta hizi habari.
 
Mara ya mwisho Chelsea kutoa mchezaji bora wa mwezi ilikua mwaka 2018 chini cha Sarri na alikua Eden Hazard baada ya miaka 6 Palmer anashinda tena chini ya Pochetino. Huo msimu Hazard aliongoza kwa magoli ndani ya Chelsea kama ilivyo sasa kwa Palmer.
 
Attachments

  • IMG-20240511-WA0003.jpg
    IMG-20240511-WA0003.jpg
    362.8 KB · Views: 9
"Wanaweza kunifukuza ndio... wanaweza kutaka niwepo, lakini kama sitaki kubaki tunatakiwa kuwa na makubaliano" 💬

Meneja wa Chelsea Mauricio Pochettino kuhusu mustakabali wake katika klabu hiyo

Kwa maoni yangu

Kuna kitu kinaendelea chini ya pazia kati ya wamiliki, bodi na Pochettino. Hotuba hizi za hasira hazitoki kwa bahati mbaya
 
Pochettino kwa wiki kadhaa alikuwa akiwashambulia mashabiki
Sasa alipoanza kufanya vizuri ameanza kuwashambulia wamiliki na bodi
Anatafuta pa kutokea. akitimuliwa ni nzuri kwake kwa sababu atapewa mafao yake. Akiondoka mwenyewe hatapewa mafao
Wamiliki na bodi watakaa baada ya mechi ya Chelsea dhidi ya Bornemouth kumjadili kocha kwamba aendelee na kandarasi au wamtimue
Letu masikio na macho tunasubiri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom