Najaribu ku otea line up

Pulisic-Abraham-Willian

Mount-Kanté-Kovacic

Alonso-Rudiger-Christensen-Azpilicueta

Kepa

Nimepanga ivyo kwa kuzingatia aina ya uchezaji wetu. Sitegemei leo tucheze kwa kudefend na ndio maana hapo yupo Kanté akisaidiana na Kova kwa mashambulizi ya kushtukiza. Ninachotegemea kukiona leo ni Watford kuchezea kwenye box lao. Pia kwa kumuanzisha Tammy mechi iliyopita inaonyesha Lamps bado anaimani na dogo lakini lazima atafanyiwa sub badae Giroud. Lakini pia kwa performance ya Barkley mechi iliyopita sion akianza leo. Karibuni tujadili blues

KTBFFH
 
Abraham kichwa panzi hakuna haja ya kumjadili takataka
 
Mechi iliyopita Tammy alicheza hovyo kuliko hata mechi zote huko nyuma, apigwe benchi ni bora hata Batshuayi acheze ili ajifunze
Kovacic hatakuwepo hata benchi ni majeruhi mnpamoja na Tomori
 
Kwa matokeo ya leo kabla hatujacheza kuna kila dalili tutahamia kwa muda namba 7 kwenye mzimamo wa ligi. Chelsea imejitakia yenyewe kwa kuupoteza ule mchezo wa Derby na Westham
 
Na tutolewe kabisa top 6. Timu imejaa vilaza kuanzia kocha mpaka wachezaji.
 
Kuna utofauti kati ya tammy na greenwood

Grenwood ni mdogo kwa tammy ila ukimuangalia kuna vitu vingi kamshinda tammy

Tammy bado anasafari ndefu ya kujifunza
 
Hajifunzi kitu huyo kichwa box, msimu ujao mkopo utamuhusu au atapigwa bei, hana sifa wala uwezo wa kuendelea kuitumikia the blues. Aende huko championship akabambiane.
 
Mechi iliyopita Tammy alicheza hovyo kuliko hata mechi zote huko nyuma, apigwe benchi ni bora hata Batshuayi acheze ili ajifunze
Kovacic hatakuwepo hata benchi ni majeruhi mnpamoja na Tomori
Mkuu badala ya Tammy ni Bora acheze Olivier giroud maana angalau game alizoanza amekuwa anafanya vizuri lakini siyo michy, michy nashukuru hata bench amekuwa hawekwi maana jamaa kashindwa kabisaaa
 
Mechi iliyopita Tammy alicheza hovyo kuliko hata mechi zote huko nyuma, apigwe benchi ni bora hata Batshuayi acheze ili ajifunze
Kovacic hatakuwepo hata benchi ni majeruhi mnpamoja na Tomori
Hiv kwanini unamu underrate Sana Giroud?Yaani michy acheze instead of Giroud upo serious kweli?
 
Hizo sajili kubwa zinazoendelea kufanyika, zitakuwa kazi bure kama tutaendelea kuwa na Lampard kocha asiyekuwa na mbinu wala ubunifu.

Lampard ni overrated hadhi yake ni championship, uwezo wake mdogo sana kuliko Arteta na OGS.

Wachezaji wanashinda mechi kwa juhudi zao binafsi, Lampard kupanga kikosi na kufanya sub yenyewe kunamshinda sembuse kuwatumia wakina Ziyech?
 
Kwa matokeo ya leo kabla hatujacheza kuna kila dalili tutahamia kwa muda namba 7 kwenye mzimamo wa ligi. Chelsea imejitakia yenyewe kwa kuupoteza ule mchezo wa Derby na Westham
Ni nafasi ya 6 sio 7
 
Hizo sajili kubwa zinazoendelea kufanyika, zitakuwa kazi bure kama tutaendelea kuwa na Lampard kocha asiyekuwa na mbinu wala ubunifu.

Lampard ni overrated hadhi yake ni championship, uwezo wake mdogo sana kuliko Arteta na OGS.

Wachezaji wanashinda mechi kwa juhudi zao binafsi, Lampard kupanga kikosi na kufanya sub yenyewe kunamshinda sembuse kuwatumia wakina Ziyech?
Me nafikiria amekuwa anafeli kwenye squad selection, nashangaa last game vs westham alianzishwa Tammy badala Olivier giroud maana ukiangalia game zilizopita kabla ya game dhidi ya westham Giroud kafanya vizuri Sana, me naamini akistiki na giroud we can do good. Squad selection anapenda Sana waingereza mwangalie Barkley dhidi ya Leicester city japo alifunga lakini alicheza vibaya sana
 
Back
Top Bottom