Si kwamba hairuhusiwi kushinda derby. Mechi za derby huwa ni ngumu na si rahisi ku predict mshindi na ndicho kilicho tokea jana.Kumbe chesi airuhusiwi kushinda derby
Pole mkuuuTumepigwa 3 kwa 2..
#CFC![]()
Ahsante mkuu ndo maisha yalivyo. Leo unafrai kesho unachekaPole mkuuu



Ww unaumwaVipi?
Bado mna matumaini ya kupunguza idadi ya magoli mtakapokutana na Man Utd.
Ww unaumwa
Uyo ci ameuzwa juzi kati? Atarudishwaje tena,?Mario Pasalic aipatia Antalanta goli muhimu na zuri, tulimuuza kwa paundi mil 12.5 tu, je tumrudishe?
Kule Antalanta anacheza kama Kiungo wa katikati
hao kawaid kuwepo ,unawapotezea tuKuna mashabiki hapa wanjiita Chelsea wanajitokeza tu timu ikifungwa ili wawakosoe wachezaji au kocha. Timu ikishinda hawaonekani kabisa wako bussy kwenye majukwaa mengine
Buy-back clauseUyo ci ameuzwa juzi kati? Atarudishwaje tena,?
Mario me nmuon wa kawaid sana , Chelsea shida kubwa ni kule nyuma beki ,cb na lb ndo wanahitajik sanBuy-back clause
wachezaji wengi wa Antalanta ni wa kawaida sana na bei za kununua utashangaa sana, tofauti yao kubwa kila mechi wanajituma na ndio maana wanapata matokeoMario me nmuon wa kawaid sana , Chelsea shida kubwa ni kule nyuma beki ,cb na lb ndo wanahitajik san
Kuna mashabiki hapa wanjiita Chelsea wanajitokeza tu timu ikifungwa ili wawakosoe wachezaji au kocha. Timu ikishinda hawaonekani kabisa wako bussy kwenye majukwaa mengine
hao timu ikifungwa wataponda kocha lmpard outMimi nawaaita Beting fans. Wanabeti kwa miemko wakiwa tayari wana matokeo mkononi. Mkeka ukichanika ndiyo wanakimbilia hapa kuwakosoa wachezaji na kocha
Unaweza kuta mtu anaye andika hivi ni either baba wa watoto watatu na mke juu or mtoto wa form four. In either way you cant be blamed kwa sababu stress za maisha nazielewa unaweza kuwa unaamini kutukana kunaleta releaf ya maisha uko kwenye foolish age.We shoga hujui kitu, bora ukatuliza kalio lako acha kutetea upuuzi, kocha ndio tatizo.