WILIAN APEWE MKATABA MPYA WA MIAKA MITATU
Kwa maoni yangu Willian apewe mkataba wa miaka mitatu anayotaka kwa sababu ameshaproof kuwa anastahili. Gambling ya Willian ni ndogo kuliko ile ya wachezaji wageni
Kama un aunga mkono weka like yako hapa
 
Kumbuka tarehe 9 august anafikisha 32, ukimuongezea 3yrs, kama unavyopendekeza.
Kuja kuisha mkataba atakuwa anaelekea 35.
Age aliyoko willian siyo kumuamini kumpa mkataba wote huo, yaleyale ya Herrera na Man U.
 
Yaani kufunga FREE KICK mnataka apewe mkataba?

Chelshit
 
Wee ulisikia wapi Chelsea anafungwa mara mbili na katimu kale kale?

Wee ulisikia wapi?
West ham ametufunga mara mbili home and away. Tatizo la Mashabiki wengi wa Chelsea ni oyaaa oyaaa. Hatujui kuchambua mpira, mifumo, wachezaji, historia ya timu, future plan za club. Tunaenda kama mang'ombe tuu.
 
Tammy abraham simuelewi huyu dogo,yaani ni heri pedro acheze namba tisa kuliko hili lidogo..lampard akileta masikhara na leo shughuli ipo
 
Kumbuka tarehe 9 august anafikisha 32, ukimuongezea 3yrs, kama unavyopendekeza.
Kuja kuisha mkataba atakuwa anaelekea 35.
Age aliyoko willian siyo kumuamini kumpa mkataba wote huo, yaleyale ya Herrera na Man U.
Miaka 35 tu
Kuwa na senior player kwenye team manuafaa yake sio ndani ya uwanja tu, hata nje
Hata hivyo nimesoma sehemu, uongozi umeanza mazungumzo upya ya kumuongezea mkataba mpya uwe wa mwaka, miaka miwili au mitatu, atatufaa

Maneno ya Willian baada ya kufungwa na Westham

"It’s not a time to complain. We have to win on Saturday [against Watford]," he declared.

"We have to play every game as a final, and fight to get into the Champions League places. We deserve to finish in the top four.

"Sometimes we have gone up and down, but I think we deserve to be there and we have to keep that position."
 
1593866938856.png
 
Predicted Chelsea team against Watford
Formation: 4-3-3

Kepa;
James Zouma, Rudiger, Azpilicueta,
Jorginho, Kante, Mount;

Willian, Giroud, Pulisic.

1593867488641.png

Back
Top Bottom