Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

1715808296427.png
 
Performance rating
  1. Petrovic - 6
  2. Malo Gusto - 8
  3. Trevoh Chalobah - 7
  4. Benoit Badiashile - 6
  5. Marc Cucurella - 7
  6. Moises Caicedo - 7
  7. Conor Gallagher - 7
  8. Noni Madueke - 6
  9. Cole Palmer - 8
  10. Mykhailo Mudryk - 5
  11. Nicolas Jackson - 6
  12. Christopher Nkunku - 7
  13. Reece James - 3
  14. Raheem Sterling - 5
  15. Thiago Silva – 5
 
Ile kwa maoni yangu haikuwa kwenye level ya red card, ni kwa vile refa alilazimishwa tu kwenda kwenye monitor
Ila uko sawa naye James haikutakiwa kufanya ule ujinga, kapteni mzima na uzoefu mwingi anafanya kama mtoto
Refa aliingia uwanjani na matokeo yake, kwanini VAR haikuchora mstari kuthibitisha offside goal la Jackson?
Kwanini VAR haikuangalia rafu aliyochezewa Mudrick hadi kutolewa nnje akishindwa kuendelea na mpira?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Roberto de Zerbi: "We lost against a top team with great players. We didn't play well in the first 20 minutes but after that we played a good game. We have another game to reach the top 10 position.The referee, I didn't like him today. I don't think it was a good performance from him. We have suffered too many injuries this season. We know the level of players of Chelsea and what they have spent over the last two or three transfer markets."

View: https://twitter.com/Blue_Footy/status/1790864421033505183
 
Chelsea ingewabakisha wakongwe ksma kina mount, harvez na ziyech wangesaidia sana hawa vijana. Ila not bad timu inaendelea kuimarika, hongera kwao.
 
Nikikumbuka game tulizopoteza kizembe top four ilikuwa yetu kabisa tumefungwa 1-0 na Nottingham,tume draw 2-2 na sheffield,draw 1-1 Burnley,tulifungwa na westham 3-1 kizembe kabisa,utoto ulikuwa mwingi sana
 
Game nyingi tulifungwa kizembe hata na Aston villa first game, tumepoteza zaidi ya points 10 kizembee kabisaaa
Sasa hivi tungekuwa kwenye 70+ points
 
Game nyingi tulifungwa kizembe hata na Aston villa first game, tumepoteza zaidi ya points 10 kizembee kabisaaa
Sasa hivi tungekuwa kwenye 70+ points
Kuna game tulipata nafasi ya kuongoza na bado tukapoteza hapa ndio pa kurekebisha ,hawa watoto wasipokemewa wataanza ligi na huu ujinga halafu mwishoni wanachangamka,tuleluacha astonvilla akache uefa wakati hana uwezo wa kumfunga hata olimpiacos ,anakwenda kuwa wa mwisho kwenye kundi
 
Mmechelewa. Timu imekuja kukaa sawa muda ushaenda. Endeleeni kumwamini pocc msimu ujao kutakuwa na matumaini.
Zile signing za Mudrky, Caicedo, Jackson, Disasi, Mukieli nk zilikuwa na matumaini ambayo yamekuja kuonekana mwishoni.
Msimu ujao baada ya Arsenal kujikatia tamaa mtakuwa kwenye kundi la kupambania ubingwa...
 
We timu gani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom