Wewe huyu au naota??Ila huyu Bruno tungempata aisee sipati picha kabisa
Usiwe na presure tuko mbele 2-0Dah ndo natoka kazini walau nitakuta second half #CFC #KTBFFH
Sent from my SM-G950U1 using JamiiForums mobile app
Na katika yote hayo hakuna hata moja la penalty.Huyo takataka ana goal ngapi hadi sasa?
Mount mbon anacheza vizuri tUnauona mzigo wako?
Kuna jamaa wana chuki bila hata sababu kwa baadhi ya wachezaji. Hiyo ilikuwa reminder callMount mbon anacheza vizuri t
Kumuita takataka ni kumkosea heshima ana mchango mkubwa kwenye nafasi tuliyopo. Bado bwana mdogo ana nafasi ya kuongeza vitu vingi stamina etc.Na katika yote hayo hakuna hata moja la penalty.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣We jamaa unachembe chembe za upashkuna, kama demu vile.
We wazoee tu work rate ya mount Ni kubwa Sana uwanjani ukiacha tu kufunga na kupiga key pass sijui Hili hawalioni?Nilichogundua watu humu ndani wanachuki na wachezaji wa kingereza haijalishi wamechezaje wenyewe watawaponda tu
Hata kocha chuki kwa vile MwingerezaNilichogundua watu humu ndani wanachuki na wachezaji wa kingereza haijalishi wamechezaje wenyewe watawaponda tu
Wolvers 0 Arsenal 2Wee leta porojo huku pale Wolves akishaleta msiba ndio utaelewa shughuli.
Chuki zako wewe mmatumbi wa chalambe kwa mbiku zina athari gani kwa mchezaji aliye London UK?Kuna jamaa wana chuki bila hata sababu kwa baadhi ya wachezaji. Hiyo ilikuwa reminder call






Haters huwezi kuwaona. Wanasubiri siku timu ikifungwaMizigo leo yanacheza vizuri
Barkley anafunga goli zuri la tatu
3-0 dk ya 91
Haters huwezi kuwaona. Wanasubiri siku timu ikifungwa