Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 13,200
- 21,535
Hakuna timu inamtaka kwa sababu mchezaji hafanyiwi promotion. Wamlete pale acheze msimu mmoja kama timu haitaridhika naye najua hakuna timu ya PL itashindwa kymsajili. Au hata hao Atalanta wemyewe wanamchukuaUnajua biashara ya wachezaji ni kama ya real estate
Mchezaji anuzwa kama dau lina lipa, kama hailipi atatolewa mkopo hadi dau lilete faida. Hiyo ndio business ya wachezaji na Chelsea wanapata faida kwenye hii business na ndio maana inaongoza kwa wachezaji wa mkopo. Ukifuatilia huyo Pasalic hakuna timu iliyowahi kutoa dau la maana