Unajua biashara ya wachezaji ni kama ya real estate
Mchezaji anuzwa kama dau lina lipa, kama hailipi atatolewa mkopo hadi dau lilete faida. Hiyo ndio business ya wachezaji na Chelsea wanapata faida kwenye hii business na ndio maana inaongoza kwa wachezaji wa mkopo. Ukifuatilia huyo Pasalic hakuna timu iliyowahi kutoa dau la maana
Hakuna timu inamtaka kwa sababu mchezaji hafanyiwi promotion. Wamlete pale acheze msimu mmoja kama timu haitaridhika naye najua hakuna timu ya PL itashindwa kymsajili. Au hata hao Atalanta wemyewe wanamchukua
 
Bernado silver amepigwa ban ya match moja kutoka na ile tweet yake kuhusu Mendy. Mzigo unazidi kupungua kuelekea match ya chelsea. Hapo na de bruyne naye akipata pancha biashara lazima iwakate.

Ila de bruyne bhana misimu iliyopita alikuwa anakula sana pancha ila akiridi bado wa moto. Naona saivi ameamua kuzihamishia pancha zake kwa kante.
 
Kahamishia kwa Kante sio? Halafu ni Mkweli Kante kawa Mhudhuriaji mzuri kwa Wodi ya Wagonjwa. Lakini anachonikera kwa game v/s Liverpool lazima anapona.

KDB ni kama Messi hata apate injury hashuki kiwango
 
Silva is a key man for City, so losing him is a huge blow to their chances against Frank Lampard’s side this weekend.
 
Jadon Sancho idolized Lampard, Drogba, Ronaldinho so obviously he’s joining Chelsea.
Apparently what’s been also decided, verified, and Twitter-approved is that Jadon Sancho will be the next big Chelsea signing. He’s young (check!), English (check!), is friends with several of the current Chelsea squad (check!), and was possibly a Chelsea fan, even, while growing up in South London. Check, check, check, check — science!
And if that wasn’t enough, two of his three idols growing up were Chelsea legends, including the current manager. I hope we have the paperwork ready to go!
Ronaldinho was the main guy I used to watch on YouTube. But I liked Frank Lampard quite a lot and Didier Drogba when they were playing for Chelsea. They were the three players I looked up to.
-Jadon Sancho; source: Independent
 
Kwahiyo Chelsea ndio imetoa wachezaji wengi kwenye hii break sio?
Tombe majeruhi yasiwepo kwenye hii international break

Belgium:
Michy Batshuayi
Croatia: Mateo Kovacic and Mario Pasalic
Denmark: Andreas Christensen
England: Mason Mount, Fikayo Tomori, Tammy Abraham and Callum Hudson-Odoi:
France: N’Golo Kante, Olivier Giroud and Kurt Zouma
Italy: Jorginho and Emerson Palmieri
Spain: Kepa Arrizabalaga
Brazil: Willian
 
Kahamishia kwa Kante sio? Halafu ni Mkweli Kante kawa Mhudhuriaji mzuri kwa Wodi ya Wagonjwa. Lakini anachonikera kwa game v/s Liverpool lazima anapona.

KDB ni kama Messi hata apate injury hashuki kiwango
Game za France zinamfanya kante anaumia sana anapaswa auzwe huyu akamalizie Madrid amfundishe casemiro holding midfielder anavyocheza kwa roho mbaya,
 
Wachezaji wanaotakiwa kuhamishwa January
Katika utafiti uliofanywa na mtandao wa football London inaonyesha kuwa
  1. Giroud anatakiwa abaki na 23% ya washabiki wa Chelsea
  2. Pedro 30% wanamtaka abaki
  3. Marco Alonso wanaomtaka ni 38% wakati
  4. Barkley wanaomtaka abaki ni 41%
Kwa upande wa waliovutia kura nyingi, Tomori anaongoza kwa kupendwa na washabiki wa Chelsea kwa 93%
Kwa ufupi

  1. Tomori 93%
  2. Pulisic 92%
  3. Mount 92%
  4. Hudson-Odoi,
  5. N’Golo Kante,
  6. Mateo Kovacic,
  7. Reece James,
  8. Abraham,
  9. Jorginho
  10. Ruben Loftus-Cheek. wote walipata 90%
Wengine waliopata kura za juu ni
  1. Emerson Palmieri,
  2. Kurt Zouma,
  3. Michy Batshuayi,
  4. Antonio Rudiger,
  5. Cesar Azpilicueta,
  6. Andreas Christensen,
  7. Kepa Arrizabalaga,
  8. Jamie Cumming
  9. Willy Caballero.
 
Cheki VAR ilivyoadhiri na kuzinufaisha timu za EPL
Kwa maneno mengi VAR isingekuwepo timu zingepata point upande wa kulia yaani New points badala ya Old points
Kwa maneno mengine pia timu zenye alama nyekundu kwenye position change zimenufaika na VAR
Wanufaika wakubwa ni Craystal Palace kwa nafasi 5 zaidi na Brighton kwa nafasi 3 zaidi
Walioadhiriwa na VAR wakubwa ni Everton nafasi 6 nyuma na Westham nafasi 3, Man city nafasi 2 na Wolves nafasi 2

premm.png
 
153 Reactions
Reply
Back
Top Bottom