Duh nimeangalia replay ya game ya man utd na westham aisee nahisi kama zile bahasha za khaki za Ferguson zimerudi. Kadi nyekundu unfair na goli lingine la offside.

Anyway Man akicheza na liverpool labda draw!
Labda wameamua kuibeba timu yao kwa nguvu.

Vovote vile watakavo pata matokeo ni sawa tu. Wakipata sare wao tu
 
Basi basi ndugu zangu tukutane pale machinjioni White Hart lane ifikapo J5...pale ambapo Mjaluo Kante atakapo wekwa Chini ya ulinzi mkali wa Victor Wanyama..... nahisi Ile Record ndo mwisho wake hio j5
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Basi basi ndugu zangu tukutane pale machinjioni White Hart lane ifikapo J5...pale ambapo Mjaluo Kante atakapo wekwa Chini ya ulinzi mkali wa Victor Wanyama..... nahisi Ile Record ndo mwisho wake hio j5
Hatuna presha na huo mchezo ata kidogo..... Tunachojua kesho baada ya game nyie wenyewe mtaanza kutuita mabingwa......
 
Mane 9 goals 4 assists
Hazard 9 goals 2 assists

HIVI KWA HIZI STATS NANI NI MWANA VOLLEYBALL?IKIBAKI JEZI MOJA NANI ATACHEZA?
Statistics ina tabia moja muhimu sana,huumbua watu!!
hivi umeelewa maana ya volleyball? Nashangaa unaanza kuleta takwimu badala ya kuleta takwimu za kukamata mpira
 
Mane 9 goals 4 assists
Hazard 9 goals 2 assists

HIVI KWA HIZI STATS NANI NI MWANA VOLLEYBALL?IKIBAKI JEZI MOJA NANI ATACHEZA?
Statistics ina tabia moja muhimu sana,huumbua watu!!
Hazard na mane mbingu na ardhi wakati hazard anatarajiwa kuwa mchezaji bora wa EPL endapo team itachukuwa ubingwa ,mane hawezi fikiriwa kwenye kinyang'anyiro hiko,endapo Liverpool atachukua ndoo japo haiwezekani basi bora ni cotinyo
 
Basi basi ndugu zangu tukutane pale machinjioni White Hart lane ifikapo J5...pale ambapo Mjaluo Kante atakapo wekwa Chini ya ulinzi mkali wa Victor Wanyama..... nahisi Ile Record ndo mwisho wake hio j5

Kaka kuna kitu unajichanganya, Baada ya Chelsea kuanza kushinda kwa mfumo wao mpya Mkasema mwisho wa Chelsea ni Totenham, walipofungwa makasema mwisho wa Chelsea na Man U, alipofungwa mkasema mwasho Ni Man City alipofungwa mkakaa kimya. Leo mmerudi kuanza tena Cycle yenu,
 
Kumbuka kuwa mlikua kwenu this time mnaenda kwao..
Hali ni mbaya sn huko White Hart Lane wanajitahidi sn kupanga mipango ya kuwasaidia kuizuia chelsea lkn wanainamisha vichwa chini na kubaki kusema kz ni kubwa.

Poch anajitahidi sn kuwatuliza wachezaji wake na mashabiki wake kwamba wasiifikirie chelsea sn Wanapasw kujifikiria wao na timu yao na mambo ya mbele......
Wakati huo huo kwa upande wa Conte hali iko shwari kabisa na kuko kimya wakiendelea vzr na maandalizi na hakuna majeruhi ata mmoja.
 
united wameanza kutembea na mbeleko baada ya kuona ligi ngumu. wameamua watumie mbinu za mzee fergie, ngoja tuone mwisho wake, game ya jana ile red haikuwa red card , faulo nyepesi sana, goli la pili wachezaji watatu walikuwa offside.
Wakati mwengine muwe fair basi, vp na lile goli la zlatan dhidi ya sunderland? Ni kweli lilikua goli la kukataliwa?
 
Duh nimeangalia replay ya game ya man utd na westham aisee nahisi kama zile bahasha za khaki za Ferguson zimerudi. Kadi nyekundu unfair na goli lingine la offside.

Anyway Man akicheza na liverpool labda draw!
Weka akiba ya maneno
 
Back
Top Bottom