Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kumbe Chelsea hatujawahi kufungwa kwenye EPL tangu tarere 01/10/2016? Stunning record!
upload_2017-1-2_22-23-1.png
 
Uwezo wa kunyumbulikaa kwa hazard na Pedro itasaidia sana mkuu ,,advantage iliyopo dembele na wanyama watastick sana kulinda wakilazimisha kupanda apo ndo tunawala vizuri
Advantage ya Chelsea ni kuwa haihangaiki sana kucheza beautiful football as long as ushindi unapatikana.

Ni kweli na bayana kuwa possession ya Tottenham itakuwa kubwa na watataka kushambulia sana ila counter ndo zitakuwa pona yetu.
 
Dembele na Wanyama watatembea sana siku hiyo na huku kuna Dele na Keane
Pembeni kuna beki wagumu sana wa Spurs na chaguo la kwanza England
Spurs 3 Chelsea 1
Kama hadi Crouch anafunga hawezi shindwa Keane
Keane ni pundit mkuu.

Sunderland wamekuchanganya naona. Mnamuogopa Defoe khe khe khe khe kheeeeeeeeee
 
Mkuu Mourinyo ni kocha mkubwa na mzoefu alipata shida kidogo hapo mwanzo sasa timu imekaa kwenye mstari atakomaa na hiyo hali ata kuzidi hapo. Na sasa ata wachezaji wake wenyewe wameanza kujiamini.
Mou ana tatizo la ego.

Man utd ingekuwa mbali kama sio ego yake.

Mfano: chunguza mechi alizocheza Mata uone matokeo yake (win percentage) halafu ujiulize Mou yu radhi kumpanga Fellaini ama Lingard na kumuacha Mata benchi!
 
Keane ni pundit mkuu.

Sunderland wamekuchanganya naoa. Mnamuogopa Defoe khe khe khe khe kheeeeeeeeee
Kesho kutwa zinabaki points 5
Spurs anakufunga
Mm nilichoka sababu ya mechi ngumu masaa 44 yaliyopita
Ukichanganya na safari
Wewe umependelewa kupumzika kwa masaa 48 zaidi lkn unapigwa!
 
Nimepata points 4 toka kwa Sunderland,sio mbaya hata kidogo!
Jumatano najua utakimbia hapa kama kawaida yako mkichapwa
Defoeeeeeee equalizes...

And now Liverpool will be without Volleyball player Mane for their next game.
 
Defoeeeeeee equalizes...

And now Liverpool will be without Volleyball player Mane for their next game.
Mane 9 goals 4 assists
Hazard 9 goals 2 assists

HIVI KWA HIZI STATS NANI NI MWANA VOLLEYBALL?IKIBAKI JEZI MOJA NANI ATACHEZA?
Statistics ina tabia moja muhimu sana,huumbua watu!!
 
Mane 9 goals 4 assists
Hazard 9 goals 2 assists

HIVI KWA HIZI STATS NANI NI MWANA VOLLEYBALL?IKIBAKI JEZI MOJA NANI ATACHEZA?
Statistics ina tabia moja muhimu sana,huumbua watu!!
Statistics however dont tell the whole truth.

Ukiwaweka sasa hivi Hazard na Mane...na stats zao hizohizo...ila wasiwe na timu...halafu uambiwe ununue mmojawapo unadhani nani atauzwa kabla ya mwenzake?

Reality vs statistics
 
Naona mwenzetu ni mpenz wa chenga twawala wala sio END RESULTS
As we speak,MANE ana anza kwa Hazard kama wanagombea nafasi moja
Mane kafunga na kusababisha magoli 13
Hazard kafunga na kusababisha magoli 11
Am out narudi home!
 
Fear factor included!
 
united wameanza kutembea na mbeleko baada ya kuona ligi ngumu. wameamua watumie mbinu za mzee fergie, ngoja tuone mwisho wake, game ya jana ile red haikuwa red card , faulo nyepesi sana, goli la pili wachezaji watatu walikuwa offside.
 
Nilikuwa namuona firmino, mane na lalana wanacheza mipira eneo la chini kabisa yaani deep..... Kitu ambacho kiliwapa uhuru mzuri zaidi Larson, ndong na Rodwell katika eneo la katikati..... uhuru huu kwa viungo wa Sunderland ulimfanya Sturridge awe anaifuata mipira chini na kuwapa tena uhuru O'Shea na Djilobodji katika beki ya kati.

Sunderland walifanikiwa kuwamudu Liverpool baada tu ya Sunderland kuukamia mchezo. Jana vijana wa David Moyes walibadilika walikuwa wana pace, walikuwa wana press kwa nguvu kuziba nafasi za mpira kabla Liverpool hawajafika eneo lao.

Gengepressing Leo ilikuwa chini sana ila ilichangiwa na uchovu pia labda baada ya kupumzika siku moja tu na kucheza tena, uchovu huu unaweza kuchangia maana mchezo uliopita Liverpool walitumia nguvu sana kupata alama zote tatu.

Mannone huyu kwangu ndiye man of the match uimara wake langoni nadhani umechangia kuwapa Sunderland alama moja dhide ya Liverpool.

Next touch.... January 15.

Sunderland 2-2 Liverpool.
 
Liverpool watakua na game za FA tarehe 8, na tarehe 11 ligi cup then ndio waje waikwae Utd.
Wakati huo huo Utd watakua na game tarehe 7, na tarehe 11.
 
Liverpool watakua na game za FA tarehe 8, na tarehe 11 ligi cup then ndio waje waikwae Utd.
Wakati huo huo Utd watakua na game tarehe 7, na tarehe 11.
Duh nimeangalia replay ya game ya man utd na westham aisee nahisi kama zile bahasha za khaki za Ferguson zimerudi. Kadi nyekundu unfair na goli lingine la offside.

Anyway Man akicheza na liverpool labda draw!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom