chilumendo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 3,242
- 3,940
mkuu naheshimu mtazamo wako man u ya ferguson nakubaliana na mtazamo wako lakini man u ya sasa sidhani kama consistence yoyote itakuweposoma post no 35878
mkuu naheshimu mtazamo wako man u ya ferguson nakubaliana na mtazamo wako lakini man u ya sasa sidhani kama consistence yoyote itakuweposoma post no 35878
Mkuu Utd sasaivi inakuja kwa nguvu sn....mkuu naheshimu mtazamo wako man u ya ferguson nakubaliana na mtazamo wako lakini man u ya sasa sidhani kama consistence yoyote itakuwepo
TupoMkuu Utd sasaivi inakuja kwa nguvu sn....
ni kweli ngoja tuone atakavyocheza na wakubwa wenzieMkuu Utd sasaivi inakuja kwa nguvu sn....
Mkuu Utd sasaivi inakuja kwa nguvu sn....
Wanakuja vizuri kweli, ila sidhani kama wanaweza kuwa hivyo kwa kipindi kirefu. Ila mpira ni mpira tusubiri tuoneni kweli ngoja tuone atakavyocheza na wakubwa wenzie
ni kweli mnakuja jitahidini muingie big 4Tupo
Mkuu Mourinyo ni kocha mkubwa na mzoefu alipata shida kidogo hapo mwanzo sasa timu imekaa kwenye mstari atakomaa na hiyo hali ata kuzidi hapo. Na sasa ata wachezaji wake wenyewe wameanza kujiamini.Wanakuja vizuri kweli, ila sidhani kama wanaweza kuwa hivyo kwa kipindi kirefu. Ila mpira ni mpira tusubiri tuone
Mkuu yaweza kuwa ni wa kawaida kweli ila uwepo wa Coutinho uwanjani anajua kuwachezesha wenzake sanaSioni ubora au uzuri wa hao wachezaji wowote ule.... Hao ni wachezaji wa kawaida tu.....
wajipange kwelikweliWanakuja vizuri kweli, ila sidhani kama wanaweza kuwa hivyo kwa kipindi kirefu. Ila mpira ni mpira tusubiri tuone
Ni kweli lkn kiwango cha huyo bado sn....Mkuu yaweza kuwa ni wa kawaida kweli ila uwepo wa Coutinho uwanjani anajua kuwachezesha wenzake sana
Mkuu Mourinho hawezi kuwapa wachezaji wake comfort atawasifia wanapofanya vizuri (alivyoaanza sasa kwa Pogba) na wakifanya vibaya tu au kupoteza bahati mbaya utaona maneno yake.Mkuu Mourinyo ni kocha mkubwa na mzoefu alipata shida kidogo hapo mwanzo sasa timu imekaa kwenye mstari atakomaa na hiyo hali ata kuzidi hapo. Na sasa ata wachezaji wake wenyewe wameanza kujiamini.
Okay ngoja tuone mkuuMkuu Mourinho hawezi kuwapa wachezaji wake comfort atawasifia wanapofanya vizuri (alivyoaanza sasa kwa Pogba) na wakifanya vibaya tu au kupoteza bahati mbaya utaona maneno yake.
Maneno ndo huwakera wachezaji sana na kuanza kupoteana
Ila msimu ujao Manchester utd itakuwa vizuri sana, naamini hilo.Okay ngoja tuone mkuu
Naona mmeshaanza nizamu ya woga mapemaaa, musihofu watani fixture ilitubebaIla msimu ujao Manchester utd itakuwa vizuri sana, naamini hilo.
Okay ngoja tuone mkuu
Mkuu Mourinho hawezi kuwapa wachezaji wake comfort atawasifia wanapofanya vizuri (alivyoaanza sasa kwa Pogba) na wakifanya vibaya tu au kupoteza bahati mbaya utaona maneno yake.
Maneno ndo huwakera wachezaji sana na kuanza kupoteana
Asante sunderlandNilisema mm!!! Kwenye Epl sunderland wanaweza mzuia Liver
Haya sasa!!!!