Chelsea anashinda hii mechi ya leo. Kwa vyovyote vile Morinho hawezi kubali kupunguza points leo. Anachotaka ni kutangaza ushindi mapema kabisa
Mkuu andybird314 Jose amekwisha Sema wazi juu ya umuhimu wa hii game ya Leo hasa hasa ktk kulinda nafasi Yake ya hapo juu!
Ukiangalia Man City Jana kafungwa na LFC wamepata draw Jana.... Sasa ili kujiweka ktk mazingira mazuri ya kuwania ubingwa hii game lazima tushinde....,!
Yani iwe isiwe Man Utd lazima apigwe akijitahidi sn man Utd atapata Draw.....!

Mkuu kunguru mjanja nilichopenda Hawa makocha wote maelezo Yao ktk vya habari mpk sasa yamekua sio ya kurushiana maneno km Mzee Wenger na mipango Yao ya maandalizi ya game imebaki kua ndani ya timu zao...!
Ni kweli mkuu Ntuzu hayo usemayo hawa makocha naona wote wanaheshimiana sana na pengine wana uhusiano mzuri sana
Wakuu Leo Ndio Leo......!
Tuko pale OT kuwashikisha adabu Mashetani wekundu....!
Cc: Mkuu wa chuo Eiyer
Naona leo mnakula maini mkuu ....!!
Leo mnachezea kichapo tu...
njaa...Chelsea tunashinda
Leo mnachezea kichapo tu...
Jana Azam alikuwa unbeaten kapigwa...
Barcelona alikuwa hajaguswa jana kaguswa...
Juventus naye kaguswa...
Leo uwezekano wa chelsea kupigika na wenyewe upo...
Chelsea tunashinda