Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

bold hahahaha ............ huyo bado sana! hata huyo muller huwezi ukamfananisha na hazard coz huyo anajua kufunga tu hana kingine! timu ikizidiwa hawez ku2mia juhudi binafsi. Nasri zamani! kidogo ungesema Roben ungeeleweka.

2kiachana na messi na cR7,unafikir wanaofuatia kw kudribo na kukusanya kijiji wanafuatia akina nani?! ....... kama siyo haz10 basi roben!

Grabd PA

Kama wewe leo unakuwa kocha kati ya Hazard na Luis Diaz Suarez unamchagua nani?

Naapia ukimchagua Hazard management inakufukuza kazi jioni hiyo hiyo kwa hasira!

Hazard bado sana hamfikii hata Di Maria Angel!Utamchagua Hazard umuache Di Maria?
 
Karibu sn mkuu Malafyale jisikie huru kutoa maoni yako kadri uwezavyo. Tunajisikia faraja kitembelewa na wageni humu kwetu!

Maoni yako nimeyapokea ninayafanyia Kz na ili uje ufahamu kua Hazard ni kiboko Zaidi ya hao uliowataja, subiri tukutane na hizo timu km Man Utd uone km Di Maria au Hazard nani atawika? Majibu na vitendo uwanjani mkuu!
 
Last edited by a moderator:

Mkuu mbona una pick team sasa?

Kwa hiyo tusubiri hata mkicheza na Barca tuone kama Hazard atawika zaidi ya Suarez ?

Au mlinganisho wako unakuwa applicable kwa wachezaji wa EPL tu?
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Nzi
Mkuu agosti 8 nafurahi kusikia hivyo! Ni kweli Di Matteo ni nguli sn na pia anafahamu vzr farisafa ya Chelsea Fc! Sasa Hapo ni uzoefu wa wachezaji na ubora wao Ndio unaotakiwa na pia uwezo wa kocha na mbinu zake bora Ndio zitaamua nani mshindi!

Ni kocha mzuri bt sio nguli, aliipokea chelsea kutoka kwa avb, alikua assistant coach then akapokea team, yan ndo anaanza kukomaa
 
Last edited by a moderator:
Hazard kapata minor injury ila natumaini mechi inayofuatia yupo....
Khourt happy zuma kapata injury pia....
Hazard akija kuumia sioni mbadala wake.....

Willian/salah oscar schurrle
 
Kama wewe leo unakuwa kocha kati ya Hazard na Luis Diaz Suarez unamchagua nani?

Naapia ukimchagua Hazard management inakufukuza kazi jioni hiyo hiyo kwa hasira!

Hazard bado sana hamfikii hata Di Maria Angel!Utamchagua Hazard umuache Di Maria?

Kw Hazard na Suarez hao ni wa2 wanaocheza namba tofauti!" kwa hiyo kuwafananisha inakuwa ngumu! ............ ila kw Di maria miaka 800 hawezi mfikia Haz10! we mwenyewe unaelewa sema 2 unajisahaulisha maksudi.

Grand PA
 
10339622_805355426151468_4760204816511139740_n.jpg

Grand PA
 
jmos lazima afe myama (MAN U) namuuaji ni.yule yule anayeua kila sehemu(mourinho)

ccGrand PA
Chelsea kama chumba cha sindano anaingia m2 anachomwa sindano anatoka anaingia mwingine! mmoja mmoja ndio mpango! ............ kushabikia chels raha sana, au unasemaje? mkuu WISE 2012

Grand PA
 
Last edited by a moderator:
dah! inaboa kinoma noma!, mi nikishasikia kuna international break napataje hasira ..........

Grand PA

Mkuu we Acha kabisa...! Ukishinda ktk mitandao hasa ktk thread Za ndugu zetu wanakua wakali na lugha mbaya sn...! Aiseee we Acha tu...!
 
Mkuu we Acha kabisa...! Ukishinda ktk mitandao hasa ktk thread Za ndugu zetu wanakua wakali na lugha mbaya sn...! Aiseee we Acha tu...!

Hapana
We are OK now tumekaa chini tumeamua kutulia lkn na nyie baadhi yenu mnatukera sana kule!

Mmetangulia kwa baiskeli ya miti kama kawaida yenu!Hata mwaka jana kuna kipindi mlituzidi 13 points!

There's nothing new from Chelsea mtakuwa tena wa 3
 
Mkuu we Acha kabisa...! Ukishinda ktk mitandao hasa ktk thread Za ndugu zetu wanakua wakali na lugha mbaya sn...! Aiseee we Acha tu...!

mzimu wa suarez unawatesa sana!" ...........

Grand PA
 
hivi lile sakata la kocha wetu kumpiga kocha wa arsenal limefikia wapi best Ntuzu ?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom