Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,897
- 11,292
wakuu salama?
nilikuwa nimetulia tulii..nashangilia ushindi wetu.
Nina imani na kazi ya Jose Mourinho.
Novemba 25 tutacheza na SHALKE 04..na sasa Legend Di Matteo amepewa ajira ya kuifundisha SHALKE 04. .what a game!
Kwema mkuu?
Nakukumbusha jiandae kisaikolojia nakupiga hapo hapo Darajani safari hii na ukija Anfield nakurarua rarua!
GJ karudi,Allen is on the way;Dan na Sakho wamepona-What a depth?