Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mkuu Malafyale wee unachofanya ni kutoa utabiri; siyo kuzungumza utaalamu wa mpira.

1. Lfc haina wachezaji wa idara ya kiungo wanaoweza kuisumbua CHELSEA FC kwa sasa. Gerrard, Handerson, Lucas, hao ni wachezaji wa kawaida sana..ukilinganisha na MATIC na FABREGAS.

sG huwa mzito sana wa kukimbizana na adui; jukumu pekee ambalo SG anamudu ni kucheza nyuma ya mshambuliaji..yaani karibu na mbele.

unakumbuka alipokuwa anacheza nyuma ya Torres, au enzi zile za Emile Heskey na Michael Owen??

LFC ya sasa siyo kama ile ya zamani. MBINU za BR zote tunazijua kwa sababu kocha wenu ni mwanafunzi wetu. amehitimu kwenye "academy" yetu.

si mbali; tukimaliza na Palace, Man Utd, QPR ,,nakufuata wewe..jiandae..:spit:

Nakupiga home and away safari hii!
Kwa mabeki zako wazee hawa nakupiga lzm
 
1970795_1480825175516848_1236559900693632311_n.jpg
 
hivi lile sakata la kocha wetu kumpiga kocha wa arsenal limefikia wapi best Ntuzu ?

Kama kocha wenu ndiyo alitaka kupiga why FA imfungulie mashtaka Wenger?

Matter of fact Kocha wenu ndiyo victim alitaka kuchapwa na Wenger
 
Last edited by a moderator:
Kwa beki Cahil na Terry sina hata wasi wasi wa kukupiga!!

Twambombo Malafyale?
Wewe wa kuidharau partnership ya Cahill na JT? Ulishindwa kuwafunga ukiwa na Suarez utaweza na kichwa maji Balotelli?
Wanaowakaribia hawa jamaa ni Kompany na Mangala, sio wale wachovu wenu Sakho na Lovren, safari hii mkifika top 4 itakua miujiza mikubwa sana
 
I really do not care how far will go but 100% nakupiga kote kuwili mwaka huu
 
Mkuu Mourinho bora useme wewe mkuu...! Maana mnaweza kuelewana Lugha na Malafyale....!

Imbombo jilipo...! Teh Teh Teh Teh

Walishindwa msimu uliopita wakiwa na Zombi Suarez wataweza msimu Huu chini ya Member wa Mafia mob Balo..???!! Imbombo jilipo..!
 
Last edited by a moderator:
Kama kocha wenu ndiyo alitaka kupiga why FA imfungulie mashtaka Wenger?

Matter of fact Kocha wenu ndiyo victim alitaka kuchapwa na Wenger

Wenger Ndio Mwenye makosa...! Na pia Wenger ni muathirika wa uteja kwa Mourinho Ndio Maana alitaka kupigana..! Lkn kumbuka Kabla ya hiyo game Jose alisema hiyo sio game Kati yake na Wenger Bali ni Chelsea timu na Arsenal timu... Sasa kwa kutaka kufuta uteja Ndio hivyo Wenger akataka kurusha Makonde Lkn Jose alijua hayo akachill na mdomo wa Jose ukafanya Kz na jamaa akazidi kua mbogo... Sasa nani mhanga hapo km sio Wenger...!?
 
I really do not care how far will go but 100% nakupiga kote kuwili mwaka huu

Msimu uliopita ulisema km hivi...! Lkn darajani nilikupiga na nikaja kwako jogoo nikamnyonyoa manyoa yote... Na ubingwa ukakosa.... Au umesahau?
 
madam ladyfurahia; lini kocha wetu alimpiga huyo babu?

Jamani wadau nilipotea siku 2 hizi; lakini sasa nipo hewani kama kawaida.:a s-eek:

hukumbuki siku ile tulivyocheza mechi na arsenal jamani sasa kwa hasira sijui furaha ilimpata akamzaba kibao mwenzake sikufuatilia kujua undani wake nini kwani mm nilifurahia yale magori tuliyowabamiza wale watoto wadogo arsenal
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom