Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
na auwezi kumuona ila mkuu mnanishngaza kwa pande mwingie kuwona mnashangilia sana kumfunga arsenal wakati ni kibonde wenu ni sawasawa na mme afurahie kwamba mkewe kampa unyumba na aende kutangaza kwa majirani wakati ni haki yake ile
Hahahaaaa Una maneno mkuu!
Tarehe 26 nakuja kwako mkuu! Jiandae na wewe mkuu!