He he he he,Noma!!
Wachezaji wameshtuka, hakukuwa na matarajio ya goli mida hii. Ila Man U wanaweza kufunga goli muda si mrefu, ni wataalam wa kulazimisha magoli...I hope mechi haitoharibika maana naona tushapandwa na mihasira.
naona kumekucha sasa .si mpigane mpewe kadi nyekundu mtufungulie njia wengine.