ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,589
mkuu umemsahau huyu drogba wa ivory coast
kwanza nikukumbushe jambo moja..miaka ile ya tisini na 2000 mwanzoni; CHELSEA FC ilikuwa inasifika sana kwa kuwa na wachezaji wa mataifa mbalimbali hata kabla ya ROMAN ERA ..
mfano:
Frank Leboeuf - Ufaransa.
George Weah - Liberia.
Babayaro - Nigeria
Franco Zola - Italia
Andre Flo - Norway
Guy Poyet - Uruguay
Dennis Wise - Uingereza
na wengine wengi..wa mataifa na rangi mbalimbali..