Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,623
hahahahahaa alaa kumbe, basi best nimechanganya madasa
Mke mwenza kumbe upo huku? Kwa hapo umenipiga bao...sitii neno
hahahahahaa alaa kumbe, basi best nimechanganya madasa
MICHAEL EMENALO - TECHNICAL DIRECTOR{MKURUGENZI WA UFUNDI}
*huyu jamaa alicheza timu ya Israel inaitwa Maccabi Tel Aviv 1998-2000{akiwa hapa alifundishwa na Avram Grant}
OK.
Mwaka 2007, Avram Grant alipewa kazi kama kocha wa Chelsea..baada ya muda akamwita Michael Emenalo. Huyu Emenala akawa anafanya kazi ya uskauti{Chief Scout}.
Mwaka 2010, tarehe 18 mwezi wa 11; Michael Emenalo akapandishwa cheo na kuwa mmoja wapo ya makocha wasaidizi wa Chelsea Fc.
Mwaka 2011, tarehe 8 mwezi wa 7; Chelsea Fc ilitangaza ramsi kumpatia kazi ya Technical Director{mkurugenzi wa ufundi} huyu bwana Emenalo.
*Hata hivyo tarehe 10 mwezi 6, mwaka jana{2013} aliposikia kwamba JOSE MOURINHO anarudi aliamua kuandika maombi rasmi ya kung'atuka kwenye cheo ili kurahisisha kurejea kwa Jose Mourinho...{ikumbukwe kwamba Emenalo ni rafiki ya Grant}
Hata hivyo mmiliki na viongozi wengine wa bodi walikataa..ndo maana hadi sasa unamwona yupo kwenye cheo chake cha Technical Director.
*pia huyu Emenalo ni 'rafiki' ya tajiri..
But kama nilivyosema huyu jamaa anamheshimu sana Mourinho; soma maneno yake mwenyewe:
"[Mourinho] is a very good decision maker and a trusted component in the decision-making process due to what he has achieved here. He came in with clear ideas of what he wanted to do, which were not dissimilar from what we were already in the process of doing, and that helped." - Michael Emenalo
Mwaka
hapo nimekusoma agost 8, kumbe jamaa alipata mchongo kwa conection ya mzee Grant. Nilitaka kushangaa cheo kikubwa kama hicho mwafrika akipate from nowhere.. Kumbe Grant alikua kocha kabla ya kuja darajani, sasa ikaweje tena UEFA walimpiga mkwara kwamba hana leseni ya ukocha? (kipindi alipochukua timu)
hapo nimekusoma agost 8, kumbe jamaa alipata mchongo kwa conection ya mzee Grant. Nilitaka kushangaa cheo kikubwa kama hicho mwafrika akipate from nowhere.. Kumbe Grant alikua kocha kabla ya kuja darajani, sasa ikaweje tena UEFA walimpiga mkwara kwamba hana leseni ya ukocha? (kipindi alipochukua timu)
Mkuu Rockcity native; kumbuka pia kwamba huyu bwana Avram Grant alipata shida ya kupata kibali cha kufanyia kazi nchini Uingereza alipopata kazi Portsmouth Fc na West Ham United...
Ni mambo ya kawaida ya kiutawala..hata CHELSEA FC ina mchezaji kijana mwenye uwezo tulimpeleke kwa mkopo mahala kwa sababu hangeweza kupata kibali cha kufanya kazi Uingereza; mchezaji mwenyewe anaitwa Wallace anatoka Brazil ni beki wa kulia..
mi nasemea leseni yake ya ukocha kipindi kile walikua wamemzingua kuwa hana qualification za ukocha, sasa hapo ndo najiuliza wakati yupo kwao israel mbona alikua kocha? May be labda kuna grade alikua hajafika kufundisha champions league na premier league
Naenda kupumzika wakuu; nawatakieni jioni njema na usiku mwema..kesho pia ni siku...:sleepy:
cc: Mentor, Ntuzu, Rockcity native,viol, kunguru mjanja, Mourinho, andybird314, Khantwe, Ladyfurahia, Kituko na fans wote wa Chelsea Fc na hata majirani zetu..:grouphug:
![]()
LOIC REMY - akijifua jana hiyo...sasa kazi imeanza.
Wengi wanaidharau manutd msimu huu lakini watashangazwa.
kwa hiyo?:wacko:
Mjiandae kisaikolojia
sisi huwa tuko tayari..tunaenda kwao mwezi ujao..tutawachapa mbele ya wake zao..
Mr.Ntuzu hajambo shem?
Hahahaa mnaweza mkachapwa ninyi sasa....mume wangu mzima wa afya kabisa
wao wakifunga magoli 4 sisi tutafunga 8, wakifunga 2 sisi tutafunga 4, wakifunga 3 sisi tutafunga 6..hatutaki mazoea na hizi timu za wapinzani wetu hata kidogo...
msalime Mr...kwani yuko wapi leo?
Mi yangu macho....na mkichapwa huyu ndugu yako anaingia jikoni. Zimefika shem.....yupo job atakuwa ametingwa