![]()
kina nani hawa?
cc: Mentor, Kunguru Mjanja, Ntuzu, Mourinho, viol, Kituko, FUSO, andybird314, all fans...

Huyu mzee Grant alitupeleka Moscow kwa fainal ya UCL na Man Utd na tukakosa kombe kwa John Terry kukosa Penalty ya mwisho ktk zile 5 na ya ushindi.
Chelsea we have come long way to be the first team in London to win the Ucl cup.
Viva chelsea. Viva chelsea fans.

DOWN MEMORY LANE:
![]()
13 May 1998: Chelsea players hold the trophy aloft after the European Cup Winners Cup final against VfB Stuttgart at the Rasunda Stadium in Stockholm, Sweden. Chelsea won the match 1-0
Kushoto Grant na huyo kulia mholanzi nadhani anaitwa Henk ten Cate
Agost 8 hivi huyo Eminalo ndo yule kapten wa nigeria worldcup 94?
mkuu Rockcity native..
Michael Emenalo alicheza kombe la dunia 1994 huko Marekani..
huyo hapo..
![]()
Wifi yake ni Man Utd lkn ukimuita tu lazima afike.
Aaah shem....mi napita bhana kama vipi njoo hom
alipataje huo mchongo coz kwa mtu mweusi tena wa Afrika ambaye hajachezea hapo huwa ngum sana kupata dili hilo halafu kwa tim caliber ya chelsea
kwanza nikukumbushe jambo moja..miaka ile ya tisini na 2000 mwanzoni; CHELSEA FC ilikuwa inasifika sana kwa kuwa na wachezaji wa mataifa mbalimbali hata kabla ya ROMAN ERA ..
mfano:
Frank Leboeuf - Ufaransa.
George Weah - Liberia.
Babayaro - Nigeria
Franco Zola - Italia
Andre Flo - Norway
Guy Poyet - Uruguay
Dennis Wise - Uingereza
na wengine wengi..wa mataifa na rangi mbalimbali..