Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kijana wetu mpya Loic Remy ameanza mazoezi jana na team yake mpya ya Chelsea
 

Attachments

  • 1410346560036.jpg
    1410346560036.jpg
    53.9 KB · Views: 69
CHIEF EXECUTIVE OFFICER 'CEO' WA CHELSEA FC - DAVID GOURLAY

article-2147857-132F6CAD000005DC-347_306x423.jpg



Chini ya usimamizi wake CHELSEA FC imeendela kupata faida na imekuwa maarufu hadi nchi ambako haikuwa maarufu.
Mfano: mwaka 2012 Chelsea ilienda Marekani kwa ajili ya Pre-season katika zile kampeni za "here to play; here to stay"

Mwaka 2013; Chelsea fc ilikuwa Asia kwa ajili ya pre-season..
ambako soka la watoto limehamasishwa sana; kupita ile kampeni yetu ya Blue Pitches..

Huyu jamaa ni kichwa: Mwaka 2012 mwezi wa 10 aliteuliwa kuingia kwenye FIFA Marketing Committee.

 
article-2481371-1A5DF02D00000578-902_634x419.jpg


DAVID BARNARD - CLUB SECRETARY{KATIBU}

Huyu mzee ndo huwa anawasainisha wachezaji mikataba..sasa hawa watu ndo wanaifanya CHELSEA FC kuwa timu ya mabingwa..wanafanya mambo kimya kimya ambayo mashabiki wengi hawaoni...

hapa alikuwa anamsainisha kijana Bertrand Traore kutoka Burkina Faso..kwa sasa yuko kwa mkopo...
 
nini kimetokea kwa Gael Kakuta toka tulipo msign kwa utata Lens mwaka 2007...nimemwona mara moja tu akicheza champions league..ila hajacheza kwenye seniour team like four years kuna future kweli in chelsea ? Na Josh mccharen nilitamani kweli acheze timu ya wakubwaila To ancelloti aondoke sidhani kama anahitajika tena chelsea Cc agosti 8
 
Hawa madogo bado tunao; wote wanacheza kwa mkopo...'future' yao inategemea juhudi zao. kama watacheza mpira wa maana watarudi kwenye kikosi cha kwnaza; mbona Thibaut Courtois amerudi? kama watashindwa watauzwa kwa faida ya timu...

sasa tuna vikosi 2 vya wachezaji wanaocheza kwa mkopo...akili ya CEO hiii...:A S-eek:


nini kimetokea kwa Gael Kakuta toka tulipo msign kwa utata Lens mwaka 2007...nimemwona mara moja tu akicheza champions league..ila hajacheza kwenye seniour team like four years kuna future kweli in chelsea ? Na Josh mccharen nilitamani kweli acheze timu ya wakubwaila To ancelloti aondoke sidhani kama anahitajika tena chelsea Cc agosti 8
 
1406896687_extras_noticia_foton_7_1.jpg


GAEL KAKUTA MIAKA 23 SASA.

Huyu mchezaji wetu tulimsajili akiwa bado mdogo amekulia hapa CHELSEA FC kama mwanafunzi na hatimaye mchezaji..
Msimu uliopita alikuwa Italia; sasa tumempeleka kwa mkopo LA LIGA..hawa wachezaji wanaocheza 'kwa mkopo' watakuja kuleta matunda makubwa sana kwa CHELSEA FC siku si nyingi...
 
2066719_Josh%20McEachran_Vitesse_528x296.jpg


JOSH McEACHRAN - anacheza 'kwa mkopo' VITESSE UHOLANZI.

huyu alikwa anacheza Wigan msimu uliopita; sasa tumempeleka akapate uzoefu zaidi huko Uholanzi..

amekuwa Chelsea kwa misimu ya kutosha..:A S-eek:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom