Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Shukrani Kubwa iende kwa agosti 8, Ntuzu, Mourinho, RRONDO, Mentor na wengineo ambao kwa kutokukusudia sijawataja hapa lakini mpo Active member wa the Chelsea FC Thread,

Kwa kweli Mmeinyanyua Thread sana kiasi kwamba haipiti siku bila mtu kuja kuchungulia kama kuna updates gani zimekuwa added,

Thanks All ,

kuna timu Nyingi zinavaa blue England lakini Chelsea ni TRUE BLUES


Kituko one luv mkuu

Chelsea Fc forever.

Asante sn.
 
Last edited by a moderator:
DOWN MEMORY LANE:

5532178196_b2db029533_b.jpg


13 May 1998: Chelsea players hold the trophy aloft after the European Cup Winners Cup final against VfB Stuttgart at the Rasunda Stadium in Stockholm, Sweden. Chelsea won the match 1-0
 
namuona steve clarke, franco zola, di matteo, gus poyet{aliyeinama hapo chini}, dennis wise, gianluca vialli, andre flo..

daah..kama jana vile..kumbe miaka mingi imepita..miaka 16.

CHELSEA FC THE CHAMPIONS..

usiku huo wa 13 May 1998. matokeo yalikuwa 0-0 hadi kipindi cha pili..akaingia Franco Zola # 25, akafunga goli pekee la ushindi..


DOWN MEMORY LANE:

5532178196_b2db029533_b.jpg


13 May 1998: Chelsea players hold the trophy aloft after the European Cup Winners Cup final against VfB Stuttgart at the Rasunda Stadium in Stockholm, Sweden. Chelsea won the match 1-0
 
1279777_display_image.jpg


Chelsea legend - PAT NEVIN

huyu sasani mwandishi wa tovuti{website} ya CHELSEA..
yeye huwa anapost uchambuzi wake kila jumanne..

alipendwa sana huyu jamaa..ni vema tujue tulikotoka..
 
Gianluca-Vialli-001.jpg


nani huy? cc. Mentor, Ntuzu, Kunguru, andybird314, viol, Mourinho, RRONDO, Mbu,Mosdef,Malafyale,
 
Chelsea+Training+Press+Conference+4C5WFV0OblIl.jpg


kina nani hawa?

cc: Mentor, Kunguru Mjanja, Ntuzu, Mourinho, viol, Kituko, FUSO, andybird314, all fans...


 

Similar Discussions

Back
Top Bottom