Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Crespo akishangilia baada ya kufunga goli.
pale nyuma ni Arjen Robben ambaye pia alifunga goli kwenye hiyo mechi ya Chelsea v Charlton mwaka 2005.
ushindi huo ulihakikisha kwamba tulikuwa tunachukua ubingwa wa ligi..

ikumbukwe kwamba mwaka 2005; CHELSEA FC ilitimiza miaka 100 tangu ianzishwe..

ushingiliaji wa Costa unanikumbusha ushangiliaji wa Crespo..ndo maana nimeweka hii picha..

2005-9-19-soccer55709185.jpg
 
Chelsea striker Diego Costa has withdrawn from the Spain squad for their opening Euro 2016 qualifier with Macedonia with a hamstring injury.

Young Barcelona striker Munir has been called up in his place.

Source: Eurosport
 
Attachments

  • 1409935081169.jpg
    1409935081169.jpg
    125.4 KB · Views: 90
Mbona Benitez aliwahi kuisema Chelsea fc vibaya na akaja kupata kz darajani. Yaliyomkuta kwa mashabiki wa chelsea wote tunayajua. Sembuse mshabiki km agosti 8 kusema hivyo mkuu? Mimi mwenyewe siwapendi kabisa Man Urojo LFC na Fc Barc na yote haya ni kutokana na wao kubebwa kutufanyia fitina za wazi kabisa wakati mwingine ilimradi washinde tu.

Jembe lenu Costa limeisha anza kuwa spanner mkononi mara hii hata kabla hajakumbana na Vicent Kompany wala Momo Sakho wala Showcross mabeki wanaosifika kwa nguvu mwilini?

Media za Spain zimeripoti kajitoa team ya Taifa na anarudi darajani kuanza matibabu!

Hii ni ngumu kumeza kwa mwanangu agosti 8 pia ehehehe!Sisi tumempiteza Dan lkn Markovich yupo je nyie sasa atacheza Remy?
 
Last edited by a moderator:

Ahaha mkuu Malafyale naona unatuombea mabaya kila kukicha. Anyway, subiri games ziki resume utaniambia...
 
Last edited by a moderator:
Jembe lenu Costa limeisha anza kuwa spanner mkononi mara hii hata kabla hajakumbana na Vicent Kompany wala Momo Sakho wala Showcross mabeki wanaosifika kwa nguvu mwilini?

Media za Spain zimeripoti kajitoa team ya Taifa na anarudi darajani kuanza matibabu!

Hii ni ngumu kumeza kwa mwanangu agosti 8 pia ehehehe!Sisi tumempiteza Dan lkn Markovich yupo je nyie sasa atacheza Remy?

naona mzimu wa costa unakuandama sana mkuu!!" unatesekaje .......... huyo remy nae ni kama costa tu maana hana urafiki na nyavu, nikuzitikisa tu" sijui nae utamuombea aumie?, ukiona mzimu unaendelea kukuandama sana unakaribishwa kuhamia The blues

Grand PA
 
Last edited by a moderator:
itachukua muda kutuelewa..lakini mtatuelewa tu mkuu Malafyale na wenzako..
hujui ujanja wa wachezaji?

lakini ubora wa matibabu ya lfc na chelsea ni vitu viwili tofauti.
sisi tuko serious na idara hiyo...Costa atacheza vs Swansea..

kama alivyocheza na everton..
hao akina Sakho 'wajinga' ndo tuliwapiga nje ndani...

:A S-eek:

Jembe lenu Costa limeisha anza kuwa spanner mkononi mara hii hata kabla hajakumbana na Vicent Kompany wala Momo Sakho wala Showcross mabeki wanaosifika kwa nguvu mwilini?

Media za Spain zimeripoti kajitoa team ya Taifa na anarudi darajani kuanza matibabu!

Hii ni ngumu kumeza kwa mwanangu agosti 8 pia ehehehe!Sisi tumempiteza Dan lkn Markovich yupo je nyie sasa atacheza Remy?
 
haha ha haha haha unakumbuka enzi zile unatumia username ya kidume? huyu mkuu alikuja hapa jukwaani ukaanza kumpeleka puta...???:wacko:

naona mzimu wa costa unakuandama mkuu!!" unatesekaje .......... huyo remy nae ni kama costa tu maana hana urafiki na nyavu, nikuzitikisa tu" sijui nae utamuombea aumie?, ukiona mzimu unakuandama sana unakaribishwa kuhamia The blues

Kama dependable striker wako ni Remy hata nafasi ya 4 haupati
 
chalobah-plays-in-narrow-england-u-21-win.img.png

kijana wetu Lewis Baker ambaye ni kapteni wa timu ya taifa ya Uingereza u-20 akishangilia ushindi wa 6-0.

kijana huyu atakuwa moto wa kuotea mbali aisee.
 
Jembe lenu Costa limeisha anza kuwa spanner mkononi mara hii hata kabla hajakumbana na Vicent Kompany wala Momo Sakho wala Showcross mabeki wanaosifika kwa nguvu mwilini?

Media za Spain zimeripoti kajitoa team ya Taifa na anarudi darajani kuanza matibabu!

Hii ni ngumu kumeza kwa mwanangu agosti 8 pia ehehehe!Sisi tumempiteza Dan lkn Markovich yupo je nyie sasa atacheza Remy?

Hivi Sakho naye ni beki wa kumtambia mtu? Sacko huyuhuyu aliyeshindwa kuchukua namba hata kwa Alex kule PSG? Kocha wenu mwenyewe hamuamini ndiyo maana kamleta Lovren, nampenda beki mwenye akili mingi kama Thiago Silva kuliko nguvu kontena akili kisoda za kina Kompany na Shawcross
In fact, Chelsea ndio team yenye beki bora kwa takwimu za msimu uliopita za EPL
 
Last edited by a moderator:
Huyu Costa maanina zake alicook story kuwa ameumia kabla ya mechi ya everton ili kucheza na mind games za rivals, sasa ameumia kweli. Namuomba Mungu sana abaki nje hata week sita ili ajue kifake injury ni ujinga.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom