RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 57,872
- 129,871
Sasa mbona SAF alisema "We invest in young players. We concentrate on what we can do to try to bring players in for right reason."
Unafikiri alimaanisha yeye au alimaanisha hiyo ni sera ya MANCHESTER UNITED? Sasa mdau anauliza mbona mmebadili 'utamaduni' wenu.
sasa mnaanza kununua kwa fujo bila hesabu wala 'reason'? maana idara ya ulinzi ya Man Utd ni mbovu sana. aisee.
nimesema hivi zama za sir fergie zimepita....sasa ni zama za LVG, hata hivyo watoto wapo kuna akina michael keane,blackett wanacheza,lakini lazima timu iwe strong huku unakuza watoto hata fergie aliwahi kukiri kuwa sasa hivi ni tofauti na waklati wa 'class of 92'...huwezi kupata group kama ile kwenye academy moja,fergie alimnunua rio ferdinand bei mbaya tu,alimnunua veron etc hio ipo tu.
alichofanya van gaal ni kama emergency surgery inabidi uifanye la sivyo unaweza kumpoteza mgonjwa! hamna jipya milioni 160 tu mnapiga kelele,tumeingiza m700 juzi tu kwenye shati wacha watumie....tutaheshimiana mwaka huu!!!!