Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

451252-frances-loic-remy-reacts-after-scoring-against-spain-during-their-inte.JPG

mshambuliaji bora kwa bei nafuu..
 
FC-Bayern-Muenchen-v-Chelsea-FC--UEFA-Champions-League-Final.jpg

huyu dogo anatia huruma sana..aliondoka kwa mbwembwe sana.
Sasa kule alikoenda hana thamani..bora hata kwetu alikua anapendwa
na mashabiki...
kule aliko wanataka wamtoe/aondoke..
ama kweli mkataa pema..pabaya panamwita.:A S 109:
 
AP228973915036-1024x778.jpg

john obi mikel anafunga magoli siku anayopenda yeye.
hapa alifunga goli katika mechi ya fullham msimu uliopita..

wachezaji 4 waliokaa muda mrefu Chelsea FC.
1. John Terry
2. Petr Cech
3. John Obi Mikel
4. Didier Drogba{alipoondoka kwenye China na Uturuki} amepitwa na Mikel..

the legends..:flame:
 
1410214520876_wps_25_Chelsea_manager_Jose_Mour.jpg

HISTORIA YETU.

mwaka 2005 tulijiunga na SAMSUNG baada ya kuipiga chini FLY EMIRATES.
sasa kuanzia mwakani kuna 'fununu' za uhakika kwamba tunahamia TURKISH AIRLINES..

Hapo kwenye picha: jose mourinho; mwakilishi wa Samsungu na CEO wa Chelsea FC enzi hizo Peter Kenyon...walipozindua 'partneship' hii na Samsung..

nimetoka mbali..hapa ilikuwa ukurasa wa 487.
asanteni..jukwaa linasonga mbele..
cc.Ntuzu, Mentor, Peasant, Mourinho, kunguru, safety, viol, batungbro{amejificha skyscrapercity}, na fans wote wa chelsea.

Raha ya mpira ni makombe!

Sasa kama timu haichukui makombe raha yatoka wapi?

Yaani, mara ya mwisho Arsenal ilipochukua kombe, kama kulikuwa na mtu yuko 'form one' enzi hizo sasa yuko chuoni tayari!

Arsenal ni kiboko yao! Walishangilia kuwa timu ya 4! Duuh!
 
FC-Bayern-Muenchen-v-Chelsea-FC--UEFA-Champions-League-Final.jpg

huyu dogo anatia huruma sana..aliondoka kwa mbwembwe sana.
Sasa kule alikoenda hana thamani..bora hata kwetu alikua anapendwa
na mashabiki...
kule aliko wanataka wamtoe/aondoke..
ama kweli mkataa pema..pabaya panamwita.:A S 109:

acha majungu wewe......
 
nimetoka mbali..hapa ilikuwa ukurasa wa 487.
asanteni..jukwaa linasonga mbele..
cc.Ntuzu, Mentor, Peasant, Mourinho, kunguru, safety, viol, batungbro{amejificha skyscrapercity}, na fans wote wa chelsea.

Pamoja sn mkuu agosti 8 the Ligend

#KTBFFH
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
namzingua tu huyu agosti 8 anachonga sana....namba ya Mata wanacheza wengi sasa hivi kwa hio yeye ni surplus pale

Ni kweli mkuu, maana Mata ni mzuri sana akicheza namba kumi lakini ile namba pale Manchester utd ni ya Rooney.
Hivyo inakuwa ngumu sana kwake na ujio wa Falcao na Di Maria ndo umemwaribia kabisa hali ya hewa.
Kwa sasa ana hali ngumu sana pale.
 
Last edited by a moderator:
na wewe ushaamka mpiga kelele namba 2!!!!!! tutaheshimiana mwaka huu wewe subiri tu....

Yani kwa kumsajili Farao na Angel Maria na Urojo basi mmekua wababe? Tatizo lipo kwa kocha wenu.

We ngoja tarehe 25 october nakuja Ot kukuduga.

Pamoja mkuu RRONDO nguli wa Man 7.
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli mkuu, maana Mata ni mzuri sana akicheza namba kumi lakini ile namba pale Manchester utd ni ya Rooney.
Hivyo inakuwa ngumu sana kwake na ujio wa Falcao na Di Maria ndo umemwaribia kabisa hali ya hewa.
Kwa sasa ana hali ngumu sana pale.

LVG kasema kuna four NUMBER 10s pale man utd.....alikuwepo kagawa,sasa hivi wapo rooney,mata,januzaj
 
Yani kwa kumsajili Farao na Angel Maria na Urojo basi mmekua wababe? Tatizo lipo kwa kocha wenu.

We ngoja tarehe 25 october nakuja Ot kukuduga.

Pamoja mkuu RRONDO nguli wa Man 7.

tumeimarisha ulinzi:luke shaw,rojo,blind
tumeimarisha kiungo:di maria,herera,blind
tumeimarisha ushambuliaji:falcao

yaani nyinyi mkipona 3-0....wenzenu arsenal tunapiga 8 tena!!!! tutaheshimiana mwaka huu wewe subiri tu....
 
Hahahaaaaaa! Van Gaal hana uwezo wa kumfunga Jose Mourinho ila Jose Mourinho ana uwezo wa kumfunga Van Gaal
 
Hahahaaaaaa! Van Gaal hana uwezo wa kumfunga Jose Mourinho ila Jose Mourinho ana uwezo wa kumfunga Van Gaal

sawa tusubiri hio october 25 uliosema....tutaheshimiana tu mwaka huu wewe subiri tu....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom