Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

ha haha haha haha hahahahaha hahaha huyu wa kwanza kushoto 'atakufa' na yule wa mwisho kabisa mkono wa kulia atavunjika miguu.:A S-eek:

10606181_812007038858213_7611900792712190303_n.jpg
 
Kwa kumsajili Diego Costa na Fabregas, watani hapa mmelamba jembe. Salute!!
Cha msingi wasiumie tu.
Hongereni sana.
Hawa akina Sanchez na Falcao naona ni kama mapambo ya kichina
 
Kaka salama?

Mikataba hutofautina. Hata mikataba ya mkopo pia iko tofauti kutegemea na mchezaji na maelewano kati ya timu husika.
MFANO MPYA. kijana wetu Chalobah amepelekwa kwa mkopo akacheza Bunrley hadi mwezi wa kwanza mwakani..baada ya hapo atarudi CHELSEA FC.

lengo letu nini? tunamuandaa awe fiti kujiunga na wenzake kwa sababu tutakapohitaji kusajili..tunarudisha baadhi ya wachezaji wa mkopo.

Mchezaji Victor Moses ameenda kwa mkopo Stoke City atacheza kwa msimu 1 tu, alaf atarudi nyumbani Chelsea.
Mchezaji Christian Atsu 'winga' matata huyu ameenda Everton kwa mkopo pia, hataruhusiwa kucheza dhidi ya Chelsea. Ndo maana mechi iliyopita hakucheza.{kumbukeni hata mwaka jana Lukaku hakucheza vs Chelsea akiwa Everton} hii ilikuwa mara ya kwanza juzi baada ya kuuzwa kabisa.

Mchezaji wetu Fernando Torres amebakisha miaka 2 kwenye mkataba. sasa 'timu' ikatumia akili...imempeleka kwa mkopo Ac Milan acheze miaka 2, alaf ndo 'kwa heri'..hii inaitwa Akili ya Kazi.

CHELSEA FC FOREVER BLUE.

salama mkuu agosti 8 , .......... hapo umeeleweka, vipi kuhusu malipo y mchezaji analipa nani? na vipi wakimchukua mchezaji kw mkopo kuna kiasi chochote cha pesa wanatoa?!

swali jingine hivi ni wachezaji wangapi wa kigeni wanaruhusiwa ktk kikosi.

Grand PA

Cc. Ntuzu, Mentor
 
Last edited by a moderator:
Acha nianze kutoa majibu kama ifuatavyo:

1. Mchezaji anapocheza "kwa mkopo" siyo kwamba timu inamkopa alaf italipa kama unavyokopo sukari dukani. Hapana, maana yake ni kwamba timu inaazima mchezaji imtumie kwa makubalinao ya kipindi fulani. Inaweza kuwa wiki kadhaa, msimu mzima au hata misimu zaidi ya 1. Kwa hiyo kitaalamu tunapaswa kusema hawa ni wachezaji wa kuazimwa/kuazima.

2. Umeuliza nani analipa mshahara? jibu ni kwamba inategemea makubaliano na sababu za kumwazima/kumkopa mchezaji huyo.
Sasa nitaje sababu zinazofanya kuwe na wachezaji wa kuazima/wa mkopo:
(a.) mchezaji anakosa namba kwenye kikosi cha kwanza, timu yake inaona anahitaji kucheza inaamua kumpelekea akacheze kwenye timu nyingine lakini bado anabaki mchezaji wao. Mfano. mchezaji anakosa namba timu ya Chelsea, uongozi unaona wanamhitaji kwa matumizi ya siku za usoni, wanampeleka akacheze timu
QPR,.ili apate uzoefu kuliko kukaa benchi.
(b.) huenda timu inataka kukwepa sheria fulani za usajili..Mfano: Frank Lampard alikuwa mchezaji huru, akasajiliwa New York City, alaf kapelekwa kwa mkopo Man City{huo ni ujanja wa Man City}

(c.) huenda mchezaji hana furaha kwenye timu na hakuna timu inayotaka kumnunua moja kwa moja. mipango inafanywa aende kwa mkopo timu nyingine, Mfano Fernando Torres..

SASA BAADA YA KUTAJA HIZO SABABU ZA WACHEZAJI KUPELEKWA KWA MKOPO. NGOJA NISEME KUHUSU MAMBO YA NANI ANALIPA MSHAHARA..

1. inategemea makubaliano: mfano, kama timu inampeleka mchezaji akacheze kwa mkopo ili tu apate uzoefu. Mara nyingi timu husika ndo italipa mshahara wote wa mchezaji. mfano CHELSEA FC inampeleka mchezaji mdogo akacheze kwa mkopo ili apate uzoefu..CHELSEA FC ndo inalipa mshahara wa mchezaji{mara nyingi inatkuwa hivyo}

2. mfano wa Radamel Falcao: mchezaji huyu atacheza Man Utd kwa msimu mmoja, ingawa bado ni mchezaji wa AS Monaco, Man Utd ndo watalipa mshahara wake ambao ni paundi la Uingereza laki mbili na sitini na tano elfu(250,000) kwa wiki.
Pili Man Utd watalipa 'ka mshahara' ili kumtumia kwa mkopo, kiasi cha puandi milioni 6 kwa msimu huu.

Kwa hiyo nadhani nimejibu vizuri swali lako mkuu Grand PA, kwa manufaa ya wanamichezo wote.

CHELSEA FC FOREVER BLUE.

salama mkuu agosti 8 , .......... hapo umeeleweka, vipi kuhusu malipo y mchezaji analipa nani? na vipi wakimchukua mchezaji kw mkopo kuna kiasi chochote cha pesa wanatoa?!

swali jingine hivi ni wachezaji wangapi wa kigeni wanaruhusiwa ktk kikosi.

Grand PA

Cc. Ntuzu, Mentor
 
salama mkuu agosti 8 , .......... hapo umeeleweka, vipi kuhusu malipo y mchezaji analipa nani? na vipi wakimchukua mchezaji kw mkopo kuna kiasi chochote cha pesa wanatoa?!

swali jingine hivi ni wachezaji wangapi wa kigeni wanaruhusiwa ktk kikosi.

Grand PA

Cc. Ntuzu, Mentor

Mkuu Grand PA kwa sasa kwenye ligi yetu ya PREMIER LEAGUE kila timu inaruhusiwa kuwa na wachezaji wa kigeni wasiozidi 17 kwenye kikosi cha wachezaji wake wenye umri unaozidi miaka 21.
 
Kaka salama?

Mikataba hutofautina. Hata mikataba ya mkopo pia iko tofauti kutegemea na mchezaji na maelewano kati ya timu husika.
MFANO MPYA. kijana wetu Chalobah amepelekwa kwa mkopo akacheza Bunrley hadi mwezi wa kwanza mwakani..baada ya hapo atarudi CHELSEA FC.

lengo letu nini? tunamuandaa awe fiti kujiunga na wenzake kwa sababu tutakapohitaji kusajili..tunarudisha baadhi ya wachezaji wa mkopo.

Mchezaji Victor Moses ameenda kwa mkopo Stoke City atacheza kwa msimu 1 tu, alaf atarudi nyumbani Chelsea.
Mchezaji Christian Atsu 'winga' matata huyu ameenda Everton kwa mkopo pia, hataruhusiwa kucheza dhidi ya Chelsea. Ndo maana mechi iliyopita hakucheza.{kumbukeni hata mwaka jana Lukaku hakucheza vs Chelsea akiwa Everton} hii ilikuwa mara ya kwanza juzi baada ya kuuzwa kabisa.

Mchezaji wetu Fernando Torres amebakisha miaka 2 kwenye mkataba. sasa 'timu' ikatumia akili...imempeleka kwa mkopo Ac Milan acheze miaka 2, alaf ndo 'kwa heri'..hii inaitwa Akili ya Kazi.

CHELSEA FC FOREVER BLUE.

Hapo kwa torres mmechemka hampati hata thumni bora mngemuuza jumla tu!
 
Mkuu Mndengereko hakukuwa na namna. Torres hauziki kwa sasa. mshahara wake ni mkubwa hakuna timu inaweza kumlipa paundi 175,000 kwa wiki kwa kiwango kile.

jambo la 2, hana furaha anapozidi kukaa kwenye benchi la Chelsea, afadhali aende.{atashusha morali} ya wachezaji wengine.

Hapo kwa torres mmechemka hampati hata thumni bora mngemuuza jumla tu!
 
afp-remy-strike-condemns-spain-to-friendly-defeat.jpg

mchezaji wetu LOIC REMY alifunga goli pekee kwenye mechi ya kirafiki jana kati ya UFARANSA NA HISPANIA.
 
Duh si Mchezo,
Arsenal: Attacking POOR, Middle ANGALAU, Dafence POOR,
Chelsea: Attacking VERY STRONG, Middle STRONG, Defence STRONG to AVERAGE
Man City: Attacking VERY STRONG, Middle STRONG, Defence AVERAGE to POOR
Man United:Attacking VERY STRONG, Middle STRONG to AVERAGE, Defence VERY POOR

Hapo ukiangalia vizuri THE TRUE BLUES kwa kiasi kikubwa ni timu iliyokamilika na uwezo wa Kuchukua kombe msimu huu ni mkubwa mno
 
academy-graduates-in-first-team-squad.img.png

Kijana wetu LEWIS BAKER mwenye miaka 19 anayecheza kwenye kikosi cha U-21 ameongezwa kwenye kikosi cha wakubwa.
Ni jambo zuri sana kwa sababu huyu kijana ni Mwingereza..sasa anaungana na madogo wenzake waliopandishwa kwenye kikosi cha kwanza kutoka kwenye akademi ya timu: ambao ni Nathan Ake, Andres Christensen na sasa Lewis Baker...

kuna watu wanasema hatukuzi vipaji..:wacko:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom