nilikuwa naamini kwamba wee ni mtu anayekumbuka mambo kumbe na wewe msahaulifu sana eeh?
ARSENAL ndo waliongoza muda mrefu kuliko yoyote. pia Man City na LFc walikuwa wanabadilishana. Sisi Chelsea Fc tulikaa # 1 mara chache sana; tena ule mwezi ambao wengine walikuwa na viporo 2 au 3..
lakini mwenyewe unajua mziki wa mwaka jana; 3-1 zinakuchanganya bado?? khe khe khe.:flame:

Msimu uliopita umesahu kama mlikuwa mnaongoza ligi alafu mwisho wa siku mkakosa kombe!?