Huyu Costa maanina zake alicook story kuwa ameumia kabla ya mechi ya everton ili kucheza na mind games za rivals, sasa ameumia kweli. Namuomba Mungu sana abaki nje hata week sita ili ajue kifake injury ni ujinga.
hii nini sasa?:frown:

sema kweli Sakho si bekiHivi Sakho naye ni beki wa kumtambia mtu? Sacko huyuhuyu aliyeshindwa kuchukua namba hata kwa Alex kule PSG? Kocha wenu mwenyewe hamuamini ndiyo maana kamleta Lovren, nampenda beki mwenye akili mingi kama Thiago Silva kuliko nguvu kontena akili kisoda za kina Kompany na Shawcross
In fact, Chelsea ndio team yenye beki bora kwa takwimu za msimu uliopita za EPL
hata angekaa nje bado mna kazi,chelsea imekamilika poteHuyu Costa maanina zake alicook story kuwa ameumia kabla ya mechi ya everton ili kucheza na mind games za rivals, sasa ameumia kweli. Namuomba Mungu sana abaki nje hata week sita ili ajue kifake injury ni ujinga.
fungi please take us down memory lane. When was this???
hii nini sasa?:frown:
Mentor hii game ndio ilikuwa chanzo cha Petr Cech kuvaa lile helment ilikuwa game kati ya chelsea na Reading Steven Hunter akamgonga cech bupuri la kichwa akatolewa nje akaingia carlo cudicini naye akagongwa kichwa akaumia na kutolewa nje baada ya hapo nlimwona Terry anavaa Gloves na kukaaa golini this was 2006
Hivi Sakho naye ni beki wa kumtambia mtu? Sacko huyuhuyu aliyeshindwa kuchukua namba hata kwa Alex kule PSG? Kocha wenu mwenyewe hamuamini ndiyo maana kamleta Lovren, nampenda beki mwenye akili mingi kama Thiago Silva kuliko nguvu kontena akili kisoda za kina Kompany na Shawcross
In fact, Chelsea ndio team yenye beki bora kwa takwimu za msimu uliopita za EPL
beki mzembe wa LFC aitwaye Sakho a.k.a Sacko..
huyu kweli wakumzuia Costa huyu???:wacko:
![]()
beki mzembe wa LFC aitwaye Sakho a.k.a Sacko..
huyu kweli wakumzuia Costa huyu???:wacko:
![]()
beki mzembe wa LFC aitwaye Sakho a.k.a Sacko..
huyu kweli wakumzuia Costa huyu???:wacko:
![]()
Agosti 8 usiseme Costa utakuwa umempa mzigo mzito sana, huyo labda tumpe akina Solanke, ndo kidogo anaweza pepetana nao