Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hahahaaaa mtamkubuka sn Babu Alex

Mwenye kauhakika ka no ni Dimaria tu lkn huyo Falcao atakaa sn benchi

Lazima usiseme kitu.

wewe na agosti 8 kwa maneno siwawezi......kweli man utd taifa kubwa page 10 tuko hapa tunajadili MAN UTD.....KHE KHE KHE KHE KHE KHE KHE KHE kwa sauti ya Wacha1
 
Last edited by a moderator:
Mbona Benitez aliwahi kuisema Chelsea fc vibaya na akaja kupata kz darajani. Yaliyomkuta kwa mashabiki wa chelsea wote tunayajua. Sembuse mshabiki km agosti 8 kusema hivyo mkuu? Mimi mwenyewe siwapendi kabisa Man Urojo LFC na Fc Barc na yote haya ni kutokana na wao kubebwa kutufanyia fitina za wazi kabisa wakati mwingine ilimradi washinde tu.

Ni haki yako, lakini mie zikiisha dk.90 basi chuki na jazba nazo zinaisha labla kuwe na kituko cha aina yake, hata hivyo baada ya muda yatapita tu
Me napenda sana soccer a.k.a the beautiful game, ni vigumu sana kuichukia team inayocheza soka, chuki zinaweza kuwa za muda lakini si za kudumu na sijaweza bado kusema hadharani kuwa naichukia sana team fulani, hata Simba yenyewe siichukii, sembuse hizo za wakoloni
 
Binadamu wote hatuko sawa ata ktk kupenda timu hatupendi sawa mkuu. Wengine tunapenda timu zetu kwelikweli ata km tukifanyiwa hujuma kidogo hatuwezi kusahau.

Lkn tunafahamu kua michezo ni upendo na furaha na amani lkn wakati mwingine michezo huleta chuki pia! Kumbuka game ya Arsenal na Man Utd ya mwaka 2003 kulitokea ugomvi mkubwa uwanjani kati ya Viera na Roy Kean unaweza ukaniambia sababu ilikua nini?
 
wewe na agosti 8 kwa maneno siwawezi......kweli man utd taifa kubwa page 10 tuko hapa tunajadili MAN UTD.....KHE KHE KHE KHE KHE KHE KHE KHE kwa sauti ya Wacha1

Ndio mambo ya michezo yalivyo mkuu mwisho wa siku tunakua marafiki!

One love mkuu RRONDO
 
Last edited by a moderator:
Yaani Man U msimu huu wakijitahidi sana sana wataishia namba 5...!

Otherwise namba saba yao ipo pale pale nyuma ya:

1.Liverpool
2.Chelsea
3.Man City
4.Tottenham
5.Arsenal
6.Everton
 
Yaani Man U msimu huu wakijitahidi sana sana wataishia namba 5...!

Otherwise namba saba yao ipo pale pale nyuma ya:

1.Liverpool
2.Chelsea
3.Man City
4.Tottenham
5.Arsenal
6.Everton

Yani wewe umenichefua sehemu moja tu.

Nu yuma ya

1 Chesea Fc
2 Man City
1 Arsenal
4 Liverpool
5 Man Utd
 
asante kwa ukaribisho ila mm ni mtu wa siku nying hapa sikuonekana kutokana na ubz wa mambo best

niPM tuongee vizrui mambo ya upambaji na sherehe bestr kama una sherehe mahali karibu hapa ni mahali pa michezo best
hayo mapambo ya harusi yatafanyika wapi? maana naona umeseme 'location' yako ni mbinguni..ha haaha haha ha haah mwaka huu kazi ipo jamani.

karibu lakini ladyfurahia

natumaini mkuu Ntuzu atakupa utambulisho wa humu nyumbani...ntuzu eeh?? ntuzu eeh?? njoo utoe utambulisho..maana hilo ndo jukumu lako 'maalum'.:spit:
 
Last edited by a moderator:
Ni haki yako, lakini mie zikiisha dk.90 basi chuki na jazba nazo zinaisha labla kuwe na kituko cha aina yake, hata hivyo baada ya muda yatapita tu
Me napenda sana soccer a.k.a the beautiful game, ni vigumu sana kuichukia team inayocheza soka, chuki zinaweza kuwa za muda lakini si za kudumu na sijaweza bado kusema hadharani kuwa naichukia sana team fulani, hata Simba yenyewe siichukii, sembuse hizo za wakoloni
mkuu uzalendo wako utakuwa wapi hasa?inaonyesha timu yako ikifungwa basi wewe utawashabikia wale wengine kwa mchezo wao mzuri,ushabiki wa hivo hauonyshi msimamo wako sana sana utaonyesha we ni kama bendera fuata upepo kama Ngongo ambaye aliikana arsenal na kuikimbilia Man u wakati iking'ara.
 
Kushabikia team haina maana kuchukia wapinzani wako, na haina maana kwamba kwa sababu sina chuki na team nyingine sina uzalendo na club yangu, club yangu ni Juventus lakini siichukii AC Milan wala Chelsea, Man United au mpinzani wangu wa jadi Inter Milan
Unachotaka kusema wewe ni kuwa ili uonekane una uzalendo na mapenzi ya dhati kwa team yako lazima kuwe na team mbili tatu unazichukia sanaa, je kuna mantiki yeyote hapo? Kwa sababu una mke na unataka kuonesha una mapenzi ya dhati kwake ndio uchukie wanawake wengine?
 
Last edited by a moderator:
Gwamahala baada ya hii wikend nakwenda Etihad then ikikaribia game yangu na nyie nahamia kwenu kabisa ktk thread yenu. Mnakumbuka vzr msimu uliopita nivyowafanya mbaya.

Cc: MosDef Malafyale Pazi nguvu The Magnificent osokonoi Okhondima na loserfool wote

Kwa hiyo beki yako nakupiga hapo hapo kwako then nakutumia vocha ya buku kukusanifu tu!

Sijaona hapo wa kumzuia mnyama Balo akiruka juu!Kama akina Naismith wali win mipira yote ya juu hadi Eto'o utamzuia vipi Balo sasa?

Costa kwa the animalea Sakho hapigi hata moja dakika 90!Hesabu maumivu
 
Msimu uliopita ulisema hivyo hivyo lkn matokeo ya ile game unayakumbuka vzr sn.
 
Yani wewe umenichefua sehemu moja tu.

Nu yuma ya

1 Chesea Fc
2 Man City
1 Arsenal
4 Liverpool
5 Man Utd

TUKIWEKA ushabiki PEMBENI, mpaka sasa Chelsea ni BIG FAVORYT katika UBINGWA wa EPL this season (hilo halina ubishi)..with Man City behind Them, Lakini kuwaweka Arsenal Number 3 hapo, bado sjaelewa umetumia vigezo gani!!!

1.CHELSEA
Last season weaknes ilikuwa ni kwenye ushambuliaji, this season lishakuwa sorted.
Diego costa>Torres
Loic Remy>Demba Ba
Samuel Eto'o>Didier Drogba

Cesc, Hazard, Willian, Schurle, Oscar, Salah, All playing BEHIND THEM..

2. MAN CITY.
Last season weaknes ilikuwa ni defense, Lakini bado sijawa conviced kuwa MANGALA atasaidiana na Kompany kulimaliza hili..Nadhan walihitaj pia a strong LB, gutted they went in for Sagna (he's Good, lakin UMRI unamtupa)..

Na pia sijui kwa wengine, lakin katika game hiz 3 za kwanza sidhan kama YAYA TOURE amepiga ule mpira wake wa last season which ndo ilikuwa KEY kwa Man City kubeba kombe..Perfomance ya YAYA ndo itadertamine mwenendo wa City this season, ni mapema kusema lakin, sidhan kama Yaya atakuwa katika ile PICK yake..(UMRI).

Striking Force ya Man City bado ni KALI saaana, na sidhan kama walikuwa wanahitaji huduma ya Falcao..JOVETIC is like a New signing (anacheza kama Messi, yaan anahama sana nafas ndan ya uwanja, ndo kumkaba inakuwa kazi, kila sehemu ya mbele anazunguka)..and he's young na na ana NJAA ya kuprove uwezo wake..

But Perfomance ya YAYA, REGES na FERNANDINHO ndo tegemeo kubwa la Man city..with that midfield itakuwa ngumu sana kushinda kama Kocha wa team pinzani atashindwa kuweka mbinu za kukikamata!!!

hahah..am looking foward kuona Midfield BATTLE ya REGES Vs MATIC, its gonna be very AMUSING to watch dat SHIT..

NB.
Pereglin ni MASTER TACTICIAN, so usishangae akichukua tena, By the way HIZI NDO TEAM ambazo ndo zina nafasi KUBWA ya kuchukua UBINGWA kulingana na UBORA na UKUBWA wa vikosi vyao..

Lakini league ina mambo MENGI, We didnt Expect ATM kubeba League Ya Spain last season mbele ya GIANTS wa SPAIN, Madrid na Barcelona, But when you talk about Title favortyts lazima utaanza na Madrid au Barca kulingana na aina ya wachezaj walionao..thats how FOOTBALL WORKS.
 
Chelsea Fc tuko na wacheza 26 nje ya timu yetu wakicheza kwa mkopo ktk timu mbali mbali na ligi mbali mbali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom