Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nani anakumbuka hii mechi?
AC+Milan+v+Chelsea+Z-ojDthYsSPl.jpg
Didier-Drogba-AC-Milan_2338765.jpg

Mkuu naona km Zambrota ktk hii picha ya chini na Simba mzee hii ilikua ni Ac Milan na chelsea au nimekosea mkuu?
 
Mkuu naona km Zambrota ktk hii picha ya chini na Simba mzee hii ilikua ni Ac Milan na chelsea au nimekosea mkuu?
yap mkuu hujakosea,dk ya 6 Drogba alipiga shuti moja mbali kabisa na 18 kati ya mabeki kibao na hata kumshinda kipa na ndo likawa goli la ushindi
 
2000.jpg

the captain DENIS WISE # 11 mgongoni; akishangilia baada ya kufunga goli la kusawazisha kwenye
mechi kati ya CHELSEA FC vs AC MILAN ndani ya SAN SIRO, 1999/2000..

tulikuwa tumefungwa goli na Oliver Bielhoff kocha wetu 'kocha mchezaji' legendary Gianluca Vialli akafanya mabadiliko.
Alimtoa Gustavo Poyet na kumwingiza kijana wetu Roberto Di Matteo..na baada ya dakika chache Di Matteo 'legend' akatoa pasi ndefu hadi kwa kapteni Wise..ambaye bila kufanya ajizi..akampiga tobo kipa wa Ac milan na kufunga goli muhimu sana..

enzi hizo tulikuwa tunavaa jezi za wadhamini wetu 'umbro' ambao kwa sasa wanadhamini Everton Fc.
kipa wa Ac Milan alikuwa huyu 'Abiatti'..

CHELSEA FC - FOREVER BLUE.
 
OLD IS GOLD

CHELSEA 4 - 2 BAYERN MUNICH. (2005)

hii haikuwa matokeo ya penati..
ni magoli tuliyowafunga Bayern Munich kwenye mechi ya CHAMPIONS LEAGUE..

Hapa kwenye picha unamwona Simba Mzee enzi hizo bado kijana kabisa akiwa na umri wa miaka 27 tu akipasua ngome ya Bayern.

Msimu wa kwanza Drogba alivaa # 15, lakini msimu wa pili akaomba apewe 11.{zamani alikuwa anavaa Damien Duff hii namba}

tunakumbushana tu.:glasses-nerdy: watu tumetoka mbali na hii timu jamani..oooh!!!
 
Chelsea-vs-bayern-munich-2005.jpg

Chelsea-v-Barcelona-Gianf-012.jpg

franco zola # 25 akimfundisha mpira kijana Xavi Hernandez miaka 14 iliyopita.

katika mechi hii CHELSEA ilishinda 3-0..
 
mechi ya EVERTON haikuwa na weakness yoyote kwenye defense..yale ni matokeo ya kushambulia muda wote. ukishambulia maana yake unakuwa rahisi pia kushambuliwa.
msimu uliopita MAN CITY walishinda vs arsenal 6-3 na watu hawakuongea na hata sijui kama wewe pia ulilaumu jambo hilo.

naona watu wanaanza kuogopa CHELSEA hii ambayo inaweza kumfunga mtu magoli 6 nyumbani kwake. watu wanaogopa huyu Costa ambaye anafunga kila mechii. kwa sababu sidhani kwamba CHELSEA FC inahitaji kufundishwa kukaba wakati ndo jadi yetu.

Mechi ya Everton ilikuwa maalum na usidhani kwamba mechi zote itakuwa hivyo. kumbuka kwamba ni CHELSEA NA SWANSEA pekee yake ambazo zimecheza mechi 3 na kushinda zote 3. sasa kama ni lawama au kukosoa kama kweli lengo ni kuelimishana nadhani ungeanza na majirani zetu ambao wanasajili lakini bado pointi zao ni sawa na magoli ya IVANOVIC.{man urojo}

watu wa chelsea hapa wameridhika na hali ya sasa. acha kwanza tufurahie mafanikio..kama mechi zingine tena itakuwa hivi tutajadili.

Kama unakataa kwamba hamkua na weakness kwenye beki dhidi ya Everton basi unabishana hata na kocha wako ambaye hakufurahishwa na namna mlivyofungwa hasa goli la tatu ambalo kwa maneno ya JM anasema katikati ya week walitumia dk 90 kwenye mazoezi jinsi ya kudefend faulo na kona.
Man City ni Man City na Chelsea ni Chelsea, wengi tunajua kiasi gani JM anachukia kuruhusu magoli kizembe kama juzi ndio maana kuna hizo concerns, sio lawama wala uoga Mkuu.
 
Kulikua na umuhimu wa kumchezesha Ramires ile juzi km pacha wa Matic kwasababu Ramires ni Box to box midfielder. Kwahiyo kuwepo kwake kulisaidia kupeleka mashambulizi mbele na kusaidia ulinzi nyuma. Kwahiyo mkuu kwa game ya juzi kulikua na umuhimu wa kufanya hivyo hasa kutokana na mfumo tuliocheza wa kushambulia.

Collect me if am wrong lakini Ramires hakucheza kama pacha wa Matic, alicheza pembeni (no.7) ingawa alikua anaibiaibia na katikati, no.6 alikua Matic na no.8 alikua Cesc, ndio maana baadae JM baada ya kuona beki haina ulinzi wa kutosha alimuingiza Mikel akacheze kuingo ya chini na Matic ili Cesc apande juu no.10 kuchukua nafasi ya Willian
 
hatubishani hata kidogo; mkuu kuna kitu kinaitwa 'mamlaka' ..kocha anaongea kutokana na mamlaka yake. yeye hataki wachezaji wake wawe wazembe. anataka wafanye kazi. anataka rekodi. anataka ubingwa. anataka mataji. anataka medali. kocha anataka afunike rekodi ya mwaka 2005, msimu huo mkuu tulifungwa magoli 15 tu, msimu mzima.

sasa mimi nazungumza kama 'mshabiki na mchambuzi wa mpira'..mimi naridhika na matokeo.
.tena kwa kulinganisha na timu yenyewe..kama tungepata matokeo hayo vs QPR baasi hapo kuna tatizo.

jambo la mwisho ni kwamba; Jose Mourinho anacheza na akili zenu, hizo kama kawaida yake ni 'mind games'..ukweli ni kwamba kocha ameridhika..hukuona anavyoshangilia kila tunapofunga goli??

CHELSEA FC iko sawa; hatuwezi kuikosoa kwa mechi moja, afadhali tuipongeze kwa mechi 3 zote ilizoshinda.

:A S-eek:

Kama unakataa kwamba hamkua na weakness kwenye beki dhidi ya Everton basi unabishana hata na kocha wako ambaye hakufurahishwa na namna mlivyofungwa hasa goli la tatu ambalo kwa maneno ya JM anasema katikati ya week walitumia dk 90 kwenye mazoezi jinsi ya kudefend faulo na kona.
Man City ni Man City na Chelsea ni Chelsea, wengi tunajua kiasi gani JM anachukia kuruhusu magoli kizembe kama juzi ndio maana kuna hizo concerns, sio lawama wala uoga Mkuu.
 
Matic na Ramires walipangwa kucheza majukumu ya namba 6 na 8.

Cesc Fabregas alipangwa kucheza majukumu ya Oscar na ndiyo maana akatoa ile assist ya kwnza ya goli akiwa kwneye 'number 10' role.

kuhusu Ramires kucheza winga namba 7 ilitokea baada ya JOHN OBI MIKEL kuingia. Baada ya Mikel kuingia akacheza na Matic kati, Ramires akaenda upande wa Willian.

Tangu mwanzo wa mcheza game plan ilikuwa Matic 6, Ramires 8"box to box" na Cesc # 10, lakini kumbuka jambo moja huyu Ramires ni mtu wa kupanda na kushuka kama tu beki wetu Ivanovic..alifunga goli akiwa ndani ya box la adui wakati yeye ni beki namba 2..tena haikuwa kona wala mpira wa adhabu. ni move ya kawaida tu. so far so good! Chelsea fc mwaka huu iko sawa sana mkuu Mourinho.

Kumbuka mwaka jana ulikuwa unatukosoa kwamba tunapoteza pointi kwa watoto, sasa tunakusanya mbona hamtaki kutupongeza jamani??

siwaelewi..mwaka jana mechi ya kwanza vs Everton tulifungwa 1-0, sasa tumeshinda 6-3 hayo ni maendeleo makubwa sana.
subiri tuchezi mechi 10 kwanza tukusanye pointi za kutosha alaf njoo useme kwamba beki ni mbovu..

Collect me if am wrong lakini Ramires hakucheza kama pacha wa Matic, alicheza pembeni (no.7) ingawa alikua anaibiaibia na katikati, no.6 alikua Matic na no.8 alikua Cesc, ndio maana baadae JM baada ya kuona beki haina ulinzi wa kutosha alimuingiza Mikel akacheze kuingo ya chini na Matic ili Cesc apande juu no.10 kuchukua nafasi ya Willian
 
hatubishani hata kidogo; mkuu kuna kitu kinaitwa 'mamlaka' ..kocha anaongea kutokana na mamlaka yake. yeye hataki wachezaji wake wawe wazembe. anataka wafanye kazi. anataka rekodi. anataka ubingwa. anataka mataji. anataka medali. kocha anataka afunike rekodi ya mwaka 2005, msimu huo mkuu tulifungwa magoli 15 tu, msimu mzima.

sasa mimi nazungumza kama 'mshabiki na mchambuzi wa mpira'..mimi naridhika na matokeo.
.tena kwa kulinganisha na timu yenyewe..kama tungepata matokeo hayo vs QPR baasi hapo kuna tatizo.

jambo la mwisho ni kwamba; Jose Mourinho anacheza na akili zenu, hizo kama kawaida yake ni 'mind games'..ukweli ni kwamba kocha ameridhika..hukuona anavyoshangilia kila tunapofunga goli??

CHELSEA FC iko sawa; hatuwezi kuikosoa kwa mechi moja, afadhali tuipongeze kwa mechi 3 zote ilizoshinda.

:A S-eek:

Na ukumbuke kuwa ligi ina mechi 38, hizi mechi 3 ni sawa na tone la maji baharini, mpunguze ngenga!
 
hayo mapambo ya harusi yatafanyika wapi? maana naona umeseme 'location' yako ni mbinguni..ha haaha haha ha haah mwaka huu kazi ipo jamani.

karibu lakini ladyfurahia

natumaini mkuu Ntuzu atakupa utambulisho wa humu nyumbani...ntuzu eeh?? ntuzu eeh?? njoo utoe utambulisho..maana hilo ndo jukumu lako 'maalum'.:spit:

bora liwe kwetu kumbe na wewe ni chelsea hahahahhaaaaaaaaa
 
najua mechi 38, lakini mkuu si unajua kwamba zimebaki 35 tu? tayari sisi tumechukua zote 3 za kwanza. na tarehe 13 tutachukua tena ..tunazidi kukaribia kwenye taji..safari moja huongeza nyingine..au vipi mzee wa Juventus?

kwanza umenyamaza sana..au nije kule kwako uniambie hali yenu msimuu huu..kama mmechokachoka nyie JUVE..:A S-eek:

Na ukumbuke kuwa ligi ina mechi 38, hizi mechi 3 ni sawa na tone la maji baharini, mpunguze ngenga!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom