Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hawa hawanipi tabu kwasababu wamekosa hoja mkuu.

Kuna kipindi Ac Milan ilikua ktk pick ya juu sn na wachezaji ambao walikua kwa Milan wakati huo walikua wakubwa sn kiumri wakiongozwa na Paulo Mardin na Nesta. Lkn timu za ulaya zilikua zinapigwa sn na hawa wakongwe. Sasa namshangaa huyu kuishiwa hoja na kuanza kuhoji viswala vya umri.

Alafu Chelsea Fc ina chipukizi wengi sn na wengine wako kwa mkopo ktk timu zingine na tunafatilia maendeleo yao.

Msimu uliopita kuna dogo mmoja Kalas aliziba no ya Terry vzr sn na kuwaweka mfukoni kina Suarez a. k. a Zombi au Vampire mzee wa kuuma na huyo dogo tumemtoa kwa mkopo kwenda kukuza kiwango.

Si ndo hapo wanataka kutuumiza vichwa hapa na kutuchafulia hali ya hewa hapa kitu ambacho hawawezi.....

Na wakitaka kujua Chelsea ina wachezaji wadogo wanaopiga mpira waangalie ligi za U21s na U19s za Uingereza halafu waseme nani wanaongoza hizo ligi........

Kwa sasa tunasubiri muda muafaka kwa hawa vijana waliopo kwa mkopo na timu za chini ili waje timu kubwa.....
 
Mkuu, umesema kweli mkuu.

Usiumie kichwa kwa hawa wasiojua kitu.
 
Myama wetu costa anamagoli 4 sasa agaist 3mech...majirani zetu wanapoint ngapi?

Arsenal ana point 4 na game mbili ata km atashinda game yake ya tatu atakua na points 7 hiyo ni nafuu kwetu sn ata km tunakutana nao na kupata suluhu.

Man city ako na points 6 game 3 huyu tayari katupa nafasi kidogo.

Liverpool yuko na point 3 game mbili na leo anacheza na Spurs! Tuwe na subira tusubiri matokeo tutakua na kusema lkn ata km atashinda tayari tuna gape ya point 6 na Lfc hiyo ni nafuu kwetu.

ManUtd hawa sitaki ata kuwazungumzia. Wamepotea
 
kaka tunaipenda Chelsea, lakini kwenye udhaifu lazima tusema, defence jana haikuwa makini kaka, na hiyo ni alert / warning sign, ndio tumewafunga goal sita, lakini tumepigwa tatu na si kawaida ya Chelsea kufungwa goli za kihivyo, kuna kujisahau au kupoteza concentration kwa mabeki wetu jana, Goal la Etoo liliniuma sana jana

Azip ni mzuri lakini sijuhi kwa nini Mou hajatafuta competent fulbackleft anayetumia mguu wa kushoto, tuna mashindano mengi, mechi nyingi kwa back inavyoenda bila kuwa na umakini na kuachia magoli ya kizembe tutakuja lia humu

Yupo Felipe Luis ataadopt tu yule ni mguu wa kushoto tuwe na imani ila pia Azp ni kifaa kinachomudu kushoto.....kocha wa everton mwenyewe anakiri sijui kama kuna tmu itabahatika kuifunga chelsea 3 ila najua boss atalifanyia kazi maana ulinzi wa chelsea hatuangalii kosa la beki tu ndo maana Mata alifungashiwa virago.
 
“We were killers in attack, especially on the counter-attack, so when you come to this stadium and get three points it is a reason to be happy,” Mourinho said. “When you come here and score six goals, obviously my players did well.

"We try to have the initiative so we are a different team. But I want to be different in that we play better football, score more goals, but I don't want to be different in the sense that we concede goals and to concede three goals and identify the mistakes we made is something I have to work at."
 
Kipa wote ni wazuri ata huyu dogo ni mzuri na Cech pia ni mzuru ila kinachofanyika ni kumpumzisha Cech kwa sasa maana katumika sn.

BTW tuko na Mashindano km manne hivi ambayo tunashiriki Epl Cl na Fa na super Cup. Kwahiyo tunahitaji kwa kila nafasi kua na mbadala mzuri na mwenye uwezo km mwingine.

Safari hii kz wanayo!

Yeah ni kweli ngoja atafute hamu huku akiwa mentor wa dogo pia hii ligi inataka uimara kila idara na hii ndoo ya epl tumeimiss kwa kweli.
 
si lazima uje hapa jamvini; kama umenuna CHELSEA FC kushinda 6 si lazima uje utoea ushauri hapa bhana..wakati tunapanga mikakati na kugawana majukumu ya uendeshaji wa hii THREAD wee hukuwepo wala sikuona hata ukitoa hoja yoyote..timu imeshinda goli 6 wewe unaanza kuleta zako mkuu usitutafutie BAN bwana...:angry::angry:

huu si wakati wa kuleta hizo hoja zako ..tukihitaji kukosolewa tutakutafuta. cc. Mentor, Ntuzu, Viol, kunguru mjanja, andybird314. na hata ukosoaji wako si mzuri unakera.:A S-eek:

kaka tunaipenda Chelsea, lakini kwenye udhaifu lazima tusema, defence jana haikuwa makini kaka, na hiyo ni alert / warning sign, ndio tumewafunga goal sita, lakini tumepigwa tatu na si kawaida ya Chelsea kufungwa goli za kihivyo, kuna kujisahau au kupoteza concentration kwa mabeki wetu jana, Goal la Etoo liliniuma sana jana

Azip ni mzuri lakini sijuhi kwa nini Mou hajatafuta competent fulbackleft anayetumia mguu wa kushoto, tuna mashindano mengi, mechi nyingi kwa back inavyoenda bila kuwa na umakini na kuachia magoli ya kizembe tutakuja lia humu
 
mwambie kituko apunguze vituko..

Yupo Felipe Luis ataadopt tu yule ni mguu wa kushoto tuwe na imani ila pia Azp ni kifaa kinachomudu kushoto.....kocha wa everton mwenyewe anakiri sijui kama kuna tmu itabahatika kuifunga chelsea 3 ila najua boss atalifanyia kazi maana ulinzi wa chelsea hatuangalii kosa la beki tu ndo maana Mata alifungashiwa virago.
 
mkuu Ntuzu, nimerudi kwa muda mfupi kabla sijaenda kuangalia mechi ya SPURS v LIVERPOOL naomba jambo moja.

CHELSEA FC THREAD isilale njaa; kwa hali hii ya ushindi wa kishindo jukwaa litaendelea kuchangamka.
Nimefurahi kwamba MOURINHO ananielewa..Oscar na Schurrle wamepumzika lakini mechi ijayo wakirudi watarudi kwa kishindo kizito sana. Mabata wa Swansea watajuta kutujua..

CHELSEA FC timu hii imetimia aisee...:hail:

Mkuu, umesema kweli mkuu.

Usiumie kichwa kwa hawa wasiojua kitu.
 
1409335737901_wps_1_Queens_Park_Rangers_Loic_.jpg

tuko mawindoni kumsajili huyu kijana..leo ama kesho kitaeleweka tu.
 
He worked yesterday with the team and I never had any idea that he might be leaving."It wasn't a case of him refusing to play. He came in, and i had a chat with him. I said 'Look, Loic, it may be difficult. I need 11 out there today whose heads are completely on playing for QPR.' So I took the decision," said Redknapp.
The manager understood the player's position, with Remy signing a buyout clause when he first joined QPR before they were relegated in 2013 and he spent last season on loan to Newcastle United.
"I'm not criticising him. He's gone to Chelsea, Champions League and whatever ... it's a fantastic opportunity for the boy and it's difficult to turn down," said Redknapp{kocha wa QPR}

1409335737901_wps_1_Queens_Park_Rangers_Loic_.jpg

tuko mawindoni kumsajili huyu kijana..leo ama kesho kitaeleweka tu.
 
si lazima uje hapa jamvini; kama umenuna CHELSEA FC kushinda 6 si lazima uje utoea ushauri hapa bhana..wakati tunapanga mikakati na kugawana majukumu ya uendeshaji wa hii THREAD wee hukuwepo wala sikuona hata ukitoa hoja yoyote..timu imeshinda goli 6 wewe unaanza kuleta zako mkuu usitutafutie BAN bwana...:angry::angry:

huu si wakati wa kuleta hizo hoja zako ..tukihitaji kukosolewa tutakutafuta. cc. Mentor, Ntuzu, Viol, kunguru mjanja, andybird314. na hata ukosoaji wako si mzuri unakera.:A S-eek:

Kaka huwezi kunizuia kuja humu, nilianza kuingia humu kabla yako, na nina uhuru wa kusema ninachokiona, nisiwatafutie Ban wewe na nani?, mkiitaji kukosolewa wewe na nani?,

kupanga majumu ya kuendesha hii thread ndio nini?, mbona una mambo ya kitoto kwenye kitu cha Jumuiya, hivi kweli unaweza kumwambia mtu asiingie humu kwa sababu yuko against na wewe?

Chelsea Mou (Fly Emirates na Samsung) utawajua tu, hakuna mtu wa Darajani hasa mwenye itikadi kama yako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom