Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

CHELSEA.
The management team.
1.first team manager
1404489897144.jpg
.

2.Steve Holland-Assistant first team coach
steve-holland.img.png

3.Silvino Louro-Assistant first team coach

silvino-louro.img.png

4.RUI FARIA-assitant first team coach
rui-faria.img.png

5.Christophe Lollichon-Goal keeper coach
christophe-lollichon.img.png

6.Michael Emenalo-technical director.
michael-emenalo.img.png

7.Chris Jones-First team fitness coach.
chris-jones.img.png

8.Carlos Lalini-Assistant first team fitness coach
carlos-lalin---assistant-first-team-fitness-coach.img.png
 
the art of communication or wisdom...
si kila neno linapaswa kutamkwa hadharani, huyu bwana ana familia, marafiki, mke na watoto..humfukuzi tu hadharani.
Unamfukuza ki-akili.

ha haha ha haa ndo akili anayotumia Mourinho hapa..kumbuka pesa nyingi sana ya timu katafuna huyu bwana Torres. mshahara wake kwa wiki ni paundi 175,000 si mchezo.

hivi kwa mfano mchezaji kashuka kiwango na hauziki timu itachukua hatua zipi?maana naona kama timu huwa haisemi kashuka,watamkalisha benchi ila why huwa wanaogopa kusema ukweli kwamba hafai kiwango kimeshuka?
 
ndo hapo huwa nashangaa,unakuta benchi zinazidi mpaka mchezaji anajiondokea ila hamna wa kuongea ukweli,teh teh
 
EDEN HAZARD
CESC FABREGAS
OSCAR EMBOABA
WILLIAN
SCHURRLE
DIEGO COSTA
MO SALAH

ndani ya wachezaji hao..kutakuwa na mchezaji bora wa msimu 2014/2015.

jamani kwa leo...'usiku mwema'..kesho kama kawada mguu na njia hadi kwa Everton..tunahitaji pointi 3 muhimu tupande juu.:grouphug:
 
inategemea kaletwa na nani Viol;
kwenye maisha bwana kuna 'busara' zake ili uweze kuishi.
kocha hataki balaa na mtu; kamkuta jamaa 'anakosa' magoli..kanyamaza kimya anampanga na kila mtu aliona msimu ulopita jamaa yuko 'average' kupita maelezo.

ndo maana mwaka jana mourinho kafanya kusudi hakutaka kusajili ili tajiri aone kwamba El Nino hana mchango mkubwa kwa sasa. inabidi aende tu.

ndo hapo huwa nashangaa,unakuta benchi zinazidi mpaka mchezaji anajiondokea ila hamna wa kuongea ukweli,teh teh
 
EDEN HAZARD
CESC FABREGAS
OSCAR EMBOABA
WILLIAN
SCHURRLE
DIEGO COSTA
MO SALAH

ndani ya wachezaji hao..kutakuwa na mchezaji bora wa msimu 2014/2015.

jamani kwa leo...'usiku mwema'..kesho kama kawada mguu na njia hadi kwa Everton..tunahitaji pointi 3 muhimu tupande juu.:grouphug:
h
hapo pagumu ukiangalia kama kuna watano watashindana,hazard,fabregas,oscar,schurrle,diego
 
hivi kwa mfano mchezaji kashuka kiwango na hauziki timu itachukua hatua zipi?maana naona kama timu huwa haisemi kashuka,watamkalisha benchi ila why huwa wanaogopa kusema ukweli kwamba hafai kiwango kimeshuka?

May be it has to do with the contract thing. Pande zote inabidi ziheshimu mkataba.

Kama mchezaji akikataa kuondoka, klabu haiwezi kumlazimisha aondoke as this will be a breach of contract.

Pia sioni umuhimu wa klabu kusema expressly kuwa kiwango cha mchezaji kimeshuka, wakati indications za kushuka kwake kiwango ziko so openly.

Kama ulikuwa the main striker halafu ukawa delegated to the third position, then hapo kiwango kimeshuka.

Wachezaji wengine wanabakia kwa sababu ya pesa tuu. Kama Torres akienda timu nyingine hawezi kulipwa pesa anayolipwa sasa. Kwa umri aliyo nao anaona ni heri abakie ale pesa bila kucheza.

Wengine wakikaa na kuondoka baada ya mkataba kuisha wanakuwa free agent na kuna uwezekano ya mishahara yao kuwa mikubwa zaidi kwa sababu timu mpya haitatumia hata senti kumnunua kutoka timu ya zamani.
 
Morinho kasema kuwa kama Torres anataka kuondoka anaweza ondoka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom