Hahahaaaaaa
Mkuu tuko fiti sn mkuu ata km Costa hayupo
Hawa watu wanamuogopa sana Costa ndio maana wanamzushia kutokucheza kwa wiki 6.
Wanamjua uwezo wake na kuna uwezekano watatumia hela ili aumizwe kwenye hizi mechi za awali ili asikutane nao.
Hapo zamani za kale Liverpool alikuwa anatuotea otea ila sasa hapiti sehemu nje ndani lazima
Skysports wamereport hiyo ishu kama dk45 zilizopita, anafanyiwa vipimo AFU TUTAJUA ATAKUWA NJE KWA MIEZI MINGAPI #LOL .
But ts true skysports wameireport hio ishu!!!
Au huwaamini skysports!!!!?????
Uzaifu wa Chelsea bado hujaonekana ila timu nyingi kubwa zikifungwa game angalau moja au mbili watu ndio wanajifanya wanaona Uzaifu mpaka sasa EPL ni Chelsea tu ndio Uzaifu siuoni japo City imeshinda zote ata Arsenal wanacheza vizuri ila kidogo Kama itatokea timu mapema kuipeleka speed Chelsea Pengine Uzaifu unaweza kuonekana ila kwa sasa siwezi kupingana na ukweli Uzaifu bado sijauona hasa Kipa na Mabeki wake na middle za kuchezesha striker Sema ukitoa Costa nafikiri Hazard anatakiwa ajirekebishe katika kufunga magoli iwe 50/50 kwake Kama anavyo tengeneza magoli naamini Hazard akiweza Kuwa mfungaji Mzuri basi uwezo wa Kuwa PFA player msimu huu anao ila ufungaji magoli ndio Hazard unamuangusha.
Nashukuru Tupo pamoja bado siku za kukimbiana tehtehteh!Karibu mkuu Pazi..
Ntuzu na agost 08 nasikia drogba kashafanya yake kwa costa
Huu sasa ni utani wa ngumi>>>>>> Kwamba keshamwendea kwa sangoma??
BREAKING NEWS: AC Milan have agreed a deal with Chelsea to sign striker Fernando Torres.
![]()
Je timu za uingereza zitatamba katika ligi za ulaya?