Mechi ya leo haitabiriki hata kidogo wakuu(Man Utd hawatabiriki kabisa hawa jamaa).Cha msingi tuzisubiri hizo dakika 97......ooops sory dakika 90

...usisahau na refa pia.
Yangu mie ni macho tu. Tukizidiwa lazima Invisible
afanye 'sytem upgrade' subirini muone...LOL!:)
 
Mechi ya leo haitabiriki hata kidogo wakuu(Man Utd hawatabiriki kabisa hawa jamaa).Cha msingi tuzisubiri hizo dakika 97......ooops sory dakika 90

hahaaaa hujakose amkuu ni kweli dakika 97...leo watajuta kuifahamu chelsea..i like the spirit Carlo is bringing to Chelsea.He is very composed and calm...
 
Mtani wangu vp?...Hapo leo lazima nikupe tano ya nguvu...kina Belo na Manda watakupiga makonzi wakikusikia...LOL!:D

Mazee leo hauna mtihani? :D

Kwa ninavyodhania Chelsea kama haitochukua ubingwa mwaka huu basi itabidi isubiri miaka mingine kama 5 hivi wapate tena mix nzuri ya wachezaji. Mechi ya leo kwa kiwango kikubwa itatoa picha ya ubingwa, maana Liva wameshafulia na Arsenal sio timu ya kuaminika.
 
Gaadem naona unami tu! Hii ya leo nilimwambia lecturer asipange
mtihani wowote for Monday. Mwenzio nimerauka mapema ndani ya 'stedyum'...nd'o mwanzo tunafagia sehemu...:D
 
sababu za chelsea leo sio added time au referee bali ni hii;

saikosisi-albums-psyche-picture755t-chelsea-vs-manu.jpg
 
the bluessssssssssssssssssssssssssssssssss
wako juu kama nini wanatisha sana, yaani man walie tu.leo siku yao imefika hakuna salia mtume hapa
 
nitakuwa nawapa update moja kwa moja hatua kwa hatua hapa hapa jf,
masanilo uko wapi kaka?!!
 
mi nauhakikaleo mashabiki wa asenal wote wako chelsea!
hahaahahaha,yaani ni raha.
yani leo nina raha,
u wapi kimey?!!!
 
The battle of the midfields will dictate the winner of this game, I see only Chelsea winning, Essien, Lampard and co will be too strong for Utd quarter plus their record at Bridge is excellent. 2 - 0 to Chelsea
 
Arsenal bingwa

Vp umelikuwa umelala nini ulipokuwa una andika hii ndoto yako hapo? Au ndo zile za mchana.

Na kwa nini iwe ndoto?

Kama iliwezekana misimu hii (1990–91, 1997–98, 2001–02, 2003–04)
kwa nini isiwezekane sasa? usifuate mkumbo, be realistic! As we stand Chelsea, ManU na Arsenal wote wana realistic chance ya kuwa mabingwa.
 
Angalia pia na aina ya wachezaji mliokuwa nao hiyo misimu uliyoitaja enzi hizo za ubingwa..
 
The battle of the midfields will dictate the winner of this game, I see only Chelsea winning, Essien, Lampard and co will be too strong for Utd quarter plus their record at Bridge is excellent. 2 - 0 to Chelsea
...Nuff sed, mkuu.
 
Back
Top Bottom