Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,286
- 4,494
... ndivyo mnavyojidanganya?
haaaaaaaaya!
...nitakuwa Bongo game hiyo...
ukiona kimya ujue 'mgao' wa umeme umenipitia
hahahahah umejua matokeo wewe! IPTL vipi?
... ndivyo mnavyojidanganya?
haaaaaaaaya!
...nitakuwa Bongo game hiyo...
ukiona kimya ujue 'mgao' wa umeme umenipitia
Ha!ha!ha!ha!ha!ha!aaaaa......umeamua uiweke BN kabisa mkuu? Naona hizi news ni rejuvenation ya nguvu.....come Sunday 8!
January najua tutafanya usajili mzuri hasa vijana on their early 20s!
January najua tutafanya usajili mzuri hasa vijana on their early 20s!
Ni bora ubaeleze hao jamaa wa mr. bean
Kabla January haijafika, ruling itakuwa imeshatoka ya kuconfirm hako kaban ka up to 2011.....ha!ha!ha!aaaa!
Ha!ha!ha!ha!ha!.....lkn umeona draft vijana wanalipiga pale Emirates?
Walipocheza na Man City?
Huyo dogo anatisha lakini hiyo timu ya vibabu sijui kama atapata nambakwanza tunaanza na Sergio Aguerero...hakyanani mtakoma msimu huu..na hatuachi kitu..mpaka carling tunakomaa nalo ..tuna njaa sana saivi
Wachawi wetu watajiju, maana kina mbu walishaanza ooohhh! January mtakaa juu ya mawe, kina Essien wanaondoka n.k.
Wachawi wetu watajiju, maana kina mbu walishaanza ooohhh! January mtakaa juu ya mawe, kina Essien wanaondoka n.k.
Huyo dogo anatisha lakini hiyo timu ya vibabu sijui kama atapata namba
Hakuna ubishi kwamba msimu huu ni wa Chelesea na sio Man U
Tuache siasa kidogo! Habari Njema January tunasawazisha mabonde!
Kakuta, 18, joined Chelsea from French side Lens in 2007
Chelsea's transfer ban has been temporarily suspended by the Court of Arbitration for Sport (Cas) pending a final decision on the matter.
Fifa had ruled the club could not sign players until 2011 after inducing Gael Kakuta to break his Lens contract.
But Chelsea appealed to Cas, which said on Friday: "Such sanctions are now stayed until the Cas renders its final decision in this matter."
The decision means Chelsea could be able to sign players in January.
No date has been given for a final decision from Cas.
Fifa had banned the Premier League leaders in September from any activity during the next two transfer windows after they were found guilty of inducing Kakuta, now aged 18, to breach his contract with French club Lens in 2007.
Under the terms of the original Fifa punishment, French teenager Kakuta was ordered to pay compensation of 780,000 euros (£710,000), for which Chelsea were "jointly and severally liable".
Chelsea were also told to pay Lens "training compensation" of 130,000 euros (£118,000).
Malaria Sugu tafadhali futa kauli yako.
Chalsea itashika nafasi ya pili au ya tatu.Unajua wachezaji wake mahari kama Didie drogba,Michael Essien,Obi Mikel, wataziwakilisha nchi zao katika michuano ya Africa cup of Nation.kuondoka kwa wachezaji wote hao kwa mara moja kutasababisha Chalsea kuyumba.
Mara nyingi ubingwa unachukuliwa kuanzia mwezi wa december wakati huo Chalsea watakuwa bila wachezaji wake muhimu.Arsenal na Manchester united watakuwa katika nafasi nzuri kuchukua ubingwa na kuwaacha matajiri wa london wakiweweseka.