Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nimesikia tetesi Brazil wanamtaka Morinho, hapo itakuwaje endapo akakubali kwenda Brazil?
 
SANCHEZ NI BORA kuliko kiteja costa,anayebisha abishe!huyu hiace/kipanya ni msolopa
 
sawa mkuu:

mwaka 2011 mlitufunga darajani 5-3 si ndiyo?
msimu ulopita tu; tumekufunga 6-0 si ndiyo?

sasa 6+3 = 9.
na zako 5+0=5.

jumla ya matokeo: 9-5..bado nakudai mkuu au vipi?:A S-eek:

tusubiri august,tuone!tuombe uzima mkuu
 
Acha ushabiki wa kitoto..sasa unakuja jukwaa la CHELSEA unamponda mchezaji wa Chelsea unataka mie nichekelee au?
Unasahau kwamba nimekufunga 6-0 msimu ulopita?
Unasahau kwamba CHELSEA FC ndo timu pekee mjini LONDON ambayo ni bingwa wa CHAMPIONS LEAGUE?

Soma data za kachezaji kako hapo nimeweka..haimfikii hata kidogo DIEGO COSTA..

haka kababu costa hakapo vizuri kama unavyotaka kutuaminisha mkuu,ni kaflop tu haka,hakana jipya epl bora ya etoo pale alipo kuliko huyu,ni mara mia ya morata,etoo,giroud,sanogo,lukaku,benteke,bendtner,kavumbagu n.k kuliko haka kacost!save hii comment ifikapo september utakuja kuniambia...yan hapa ndipo chelsea ilipoingia mkenge ktk usajiri wake teh teh teh
 
Sawa mkuu, vipi usajili wako wa Milioni 40 wa Ozil, na bado uko namba 4?

Una hiari ya kumchukia Costa lakini rekodi zake zinazungumza...
Kama chelsea fc itapata hasara, wewe jirani wa Arsenal unaumia nini bwana? subiri ligi ianze tuendelee kuwafungeni..:couch2:

posti 170 na umekuwa memba mwaka mzima..ni aibu.
inaonekana wewe huwa unakuja humu siku za sikukuu tu...

uwezo wako mdogo sana..
SANCHEZ NI BORA kuliko kiteja costa,anayebisha abishe!huyu hiace/kipanya ni msolopa
 
Sawa mkuu, vipi usajili wako wa Milioni 40 wa Ozil, na bado uko namba 4?

Una hiari ya kumchukia Costa lakini rekodi zake zinazungumza...
Kama chelsea fc itapata hasara, wewe jirani wa Arsenal unaumia nini bwana? subiri ligi ianze tuendelee kuwafungeni..:couch2:

umeshasahau kama wewe umetoka mikono mitupu na sisi ndio mabingwa wako wa FA?hadi hapo hujajua faida ya usajiri wa huyu kijana?nafikiri umemuona kijana alivyopiga mpira leo,all in all huyu jamaa andrey schurrey ni mubayaaaaaaaaaaaa
GUNNERZ 4EVER
 
Ni mchezaji wa timu gani vile?

ANDRE SCHURRLE kijana mwenye nidhamu,
:flame:
 
Wakuu za asubuhi?

Vijana wa Arsenal fc hawatunyimi usingizi..Arsenal Fc ilikuwa timu tishio zamani zileee..
Hata katika historia yote ya PREMIER LEAGUE Arsenal fc haijawahi kuifunga Chelsea goli 6. TEna kibaya zaidi 6-0.:A S-eek:

vijana wa arsenal wanamatatizo sana ndiyo maana mourinho walifunga goli sita the same kwa man utd goli 8 lakin bado hawakomi
 
Schurrle.jpg

Andre Schurrle mchezaji msikivu sana huyu.
:clap2:
 
haka kababu costa hakapo vizuri kama unavyotaka kutuaminisha mkuu,ni kaflop tu haka,hakana jipya epl bora ya etoo pale alipo kuliko huyu,ni mara mia ya morata,etoo,giroud,sanogo,lukaku,benteke,bendtner,kavumbagu n.k kuliko haka kacost!save hii comment ifikapo september utakuja kuniambia...yan hapa ndipo chelsea ilipoingia mkenge ktk usajiri wake teh teh teh

Hapo kwenye rangi nyekundu...:A S 109:
 
Acha neno fungu la kukosa arsenal

umeona mkuu hawa jamaa sijui wanamatatizo gani huwezi kwa wakati huu ufananishe mafanikio ya chese na hawa arsenal, chese ni tim pekee London iliyochukua UEFA,na kwa wakati huu chese anapokutana na arsenal anakuwa na uhakika wakuchukua point zote 3.
Na kinachowauma zaid nikitendo cha kumchukua kipenzi chao fabregas watakoma sana mwaka huu
 
Pia ni timu pekee kutoa PREMIER LEAGUE[UINGEREZA]; iliyowahi kuchukua mataji matatu makubwa ya ULAYA.

photo102-800x504.jpg

umeona mkuu hawa jamaa sijui wanamatatizo gani huwezi kwa wakati huu ufananishe mafanikio ya chese na hawa arsenal, chese ni tim pekee London iliyochukua UEFA,na kwa wakati huu chese anapokutana na arsenal anakuwa na uhakika wakuchukua point zote 3.
Na kinachowauma zaid nikitendo cha kumchukua kipenzi chao fabregas watakoma sana mwaka huu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom