mbona Jembe Mikel Obi hazungumziwi?,
nina wasiwasi sana na future yake pale Chelsea, kuliko kumuweka benchi bora Mourinho amuuze tu
kuzungumziwa ki vipi?:wacko:
Kaka, huyo jembe benchi limeshamkubali, sioni kabisa future yake pale Darajani, bora aachiwe aende kumalizia mpira wake sehemu nyingine,
Mie nataka kuwasikia wenyewe akina Mentor, Ntuzu na wengine juu ya the flamboyant defender David Luiz.
Anaendelea ku-set records tena this time in the World Cup Finals.
David Luiz is officially the all time expensive defender to concede 7 goals in one match in the World Cup Finals.
Halafu kuna mtu hapa sijui ni Mourinho ali-suggest that after Terry, Luiz apewe mkoba. Weeeee!!!!
Jana sikuona any piece of his leadership skills. Na jana they didn't miss Naymair, but Thiago Silva.
Just wondering hivi Ufaransa hawana sheria ya caveat emptor aka let the buyer beware?
Maana hapa PSG owner and Manager looking for David Luiz receipt so they can get a refund.
![]()
Habari yako Mkuu EMT, kitambo sana sijasoma nondo zako hata kwenye WC sikuoni, turudi kwenye hoja
Nakumbuka wakati wa Di Matteo, David Luiz alimaliza ule msimu vizurj sana na pamoja na mapungufu yake kwenye nafasi yake, washabiki wengi wa Chelsea walikua wanapenda jamaa arithi mikoba ya JT, nadhani na mimi nililileta hapa nikiwakilisha tu hayo maoni.
Kuna baadhi ya leadership skills ambazo Luiz anazo, wanasema jamaa ni very vocal kwenye dressing room na huwa anapresent a brother figure kwa mayoso na hata watu wa age yake na ukaribu wake na washabiki
Lakini akiwa uwanjani kwa kweli hawezi kulead by example, hawezi kupanga wenzake kwa sababu yeye mwenyewe hawezi kujipanga na sometimes yuko too emotional.
Naomba kukiri hapa kwamba nilikosea sana kudhani huyu bwana anaweza kuwa Captain wa team kama ya Chelsea
Mwenyewe karidhika:
CHELSEA FC imempa MIKEL ubingwa wa Uingereza[Premier League]
cHELSEA fC imempa MIKEL CHAMPIONS LEAGUE.
chelsea fc imempa MIKEL; EUROPA league..
bila kusahau..FA CUP ..
hana haraka na maisha..JOHN OBI MIKEL ..:A S thumbs_up:
kweli kaka, Muda wake wa kuondoka umefika, Keshapata kila kitu aende sehemu anayoweza kucheza japo 75 minutes
Febregas atacheza namba ya Lampard:
kwenye mfumo wa 4-2-3-1, inakuwa hivi: wale 2 wa kati ni namba 6 na 8, sasa hapo atacheza Cesc Fabregas na Nemanja Matic.
:cool2:
Habari yako Mkuu EMT, kitambo sana sijasoma nondo zako hata kwenye WC sikuoni,
Nipo waiting for the next season to commence. Kuhusu Kombe la Dunia, I am happy the tiki-taka style of play is officially dead na maziko yalifanyika at the World Cup Finals.
As for Samba, naona kama ilikufa zamani na inawezekana juzi was merely a confirmation to this? Sad though.
It seems the gegenpressing style of play is making its mark at the world stage. The Germans pressed them everywhere.
They played at full pace kwa dakika zote 90. They approached every minutes kama vile walikuwa wamefungwa. Uliona jinsi walivyolalamika baada ya Oscar kufunga lile goli moja?
They didn't give Brazil any chance. They swarmed on them, giving them no time on the ball which made Brazil kuishia kupiga mpira ovyo.
Gegenpressing style of play leads to many goals. Hili tulishuhudia wenyewe juzi. Bao 7.
But let's see if Messis ability to conjure chances will trump the gegenpressing the Germans will throw at him on Sunday.
That being said, Mats Humells says they maid a pledge at half time not to humiliate the Brazilians in their own WC so they took the foot off the gas in the 2nd half or else.....
Mkuu hii system yetu ya kuwasajili wachezaji na kuwapeleka kwa mkopo itatusaidia sana siku za usoni.
Maana ndani ya miaka 2 tu ijayo wengi kati ya hao watakuwa wameiva vizuri sana, tutaweza kuwarudisha nyumbani au kuwauza kwenye timu nyingine..
football business.:cool2:
Na Ramires atacheza wapi?
Wangapi wamerudi? Hivi Gael Kakuta yuko wapi?
Wangapi wamerudi? Hivi Gael Kakuta yuko wapi?
Na Ramires atacheza wapi?
Mkuu agosti nimefurahi sana kuona ni namna gani usajili wa chese unaenda vizuri tena kwa umakini mno,ingawa kuna tetesi pogpa anaweza kutua darajani