maguzumasese2005
JF-Expert Member
- May 1, 2014
- 642
- 171
Chelsea hamna timu
Chelsea hamna timu
Chelsea hamna timu
salama za asubuhi mgeni wetu?
Back in Business
Members of Jose Mourinhos first team squad return to pre-season training later today (Wednesday) as preparations begin for the 2014/15 campaign.
sio mgeni kiivyo miye mpenzi mkubwa wa the blues nanifuatilia kwa karibu usajili wetu pamoja na mijadala inayofanyika hapa kwenye thread yetu
Nakupongeza ndugu agosti na mwenzako ntunzu ingawa siku hizi kama ameadimika sana namna mnavyotupatia data na michanganua ya timu yetu ya chese.
Jana nimeangalia mpira kwa hamu ya kumuona D. Luiz akifanya kosa lakini wapi! Lile own goal kwa haraka nilidhani ni Luiz..kidogo niruke kwa furaha. I was looking for a reason ya kumchukia na kusema ni afadhali ameondoka (liability) ila jana kacheza vizuri sana aisee...inaniuma sana kumuona akiondoka!
Ni bonge la figure in and out the field!
Hapo nimeongea kama mpenzi (shabiki) wa D. Luiz si kwa umuhimu wala nini...so dont sweat it!
Yani kiasi kwamba ningeweza kuruhusu Hazard aondoke abaki D. Luiz...
Mie sio mgeni ndugu na pia ni shabiki wa Chelsea ila kumuachia Luiz na Terry ndo amezeeka
he is the one responsible of selling and buying players ..for the winning team.
i like David Luiz, but dont forget ..sometimes he has been making serious mistakes.
the team is better than one player.
i support the team..CFC
he was not forced to go to PSG. he's decided himself. we cant force him to stay either!
samahani mkuu chilumendo, kumbe wewe ni mwenyeji humu ndani. niwie radhi kudhindwa kutambua hilo.
Ntuzu aliniomba udhuru kwamba hatokuwepo kwa muda, nimekubali. Mtu mzima Invisible ambaye ni 'refa' humu ndani pia yupo anawakilisha kimya kimpya..
Nawashukuruni sana wakuu kwa kutambua mchango wetu hapa jamvini..kama kawaida sasa najua mmefurahia sana CHELSEA FC THREAD imefikia kurasa[page] 800, raha sana..tunaendelea kuwakilisha..