Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea huwa hawapendi wachezaji chipukizi,ndio maana kina Kakuta,Romeu,Piazon,Marin,Cortous,Lukaku,McEchran,Betrand,Piazon,Bruma wanacheza kwa mkopo karibia misimu 3 mfululizo.Sturidge,De Bruyne,Mancienne,Matic waliuzwa kabisa

ukitaka mataji lazima uwe na wachezaji waliokomaa kimashindano.
Mfano:Mchezaji anapofikisha miaka 30 Chelsea inampa mkataba wa mwaka mmoja mmoja kulingana na uwezo. Hata kapteni JT ameongezwa mwaka tu.

si kweli kwamba hatupendi wachezaji wenye umri mdogo. Tunao wengi; Oscar, Willian, Hazard, etc.
Lakini huwezi kuchukua mataji na madogo wenye 18-20 wengi kwenye timu.

Kama huamini muulize Wenger!:smiling:
 
article-0-15F9886B000005DC-854_634x414.jpg
 
hata Mie nampenda player mwenye uchungu na timu kuliko player mwenye kujifikiria yeye na ATM machine ya kutolea pesa wote tunaipenda pesa ila ukiwa na Player anacheza mpira kwa uchungu watimu Kama mshabiki anavyoumia akifungwa basi ni raha ila ukiwa Una player anacheza sababu kapata tu nafasi ya kucheza timu ikifungwa moyo wake haujali inaumiza timu na kuna Player naowapenda ambao wanaweza kutokuwa shabiki wa timu anayoichezea ila anauchungu timu inayochezea ikifungwa sababu anapenda kushinda ndio Suarez na sturidge amekuwa anashabikia Arsenal ila ile Game FA cup alikaa chini kwa uchungu sababu jamaa anapenda ku win ila kuna Player kaipenda cha kumaliza kashafungwa unajuwa Kabisa Huyu alikuwa Anasubiri game iishe akajirushe club basi....... Muda mwengine bora Kubaki na vizee wanaojali uwe na vijana Wenye uchungu.
 
ukitaka mataji lazima uwe na wachezaji waliokomaa kimashindano.
Mfano:Mchezaji anapofikisha miaka 30 Chelsea inampa mkataba wa mwaka mmoja mmoja kulingana na uwezo. Hata kapteni JT ameongezwa mwaka tu.

si kweli kwamba hatupendi wachezaji wenye umri mdogo. Tunao wengi; Oscar, Willian, Hazard, etc.
Lakini huwezi kuchukua mataji na madogo wenye 18-20 wengi kwenye timu.

Kama huamini muulize Wenger!:smiling:
Sera ya kuwapa mkataba wa mwaka mmoja wachezaji above 30 inatumiwa na timu nyingi (Man United,Arsenal) sio Chelsea tu then Willian sio chipukizi amecheza Brazil,Shaktar,Anzi then akatua Chelsea I think ana miaka 25-26
 
BREAKING NEWS

Chelsea have signed Cesc Fabregas! CONFIRMED. More to follow.

0,,10268~12900820,00.jpg
The 27-year-old to Chelsea's official website: "Firstly I would like to thank everyone at FC Barcelona where I enjoyed three wonderful years. It was my childhood club and I will always be proud and honoured that I had a chance to play for such a great team. I do feel that I have unfinished business in the Premier League and now is the right time to return. I considered all the other offers very carefully and I firmly believe that Chelsea is the best choice. They match my footballing ambitions with their hunger and desire to win trophies. They have an amazing squad of players and an incredible manager. I am fully committed to this team and I can't wait to start playing."
 
Hapo sasa... Ila nae asije na style kama ya Deco ya kuja kuzima darajani au kama ya mwenzie Torres
 
i hate this......

[h=1]Premier League: Chelsea secure deal for ex-Arsenal midfielder Cesc Fabregas[/h] Last Updated: 12/06/14 5:17pm

77

CescFabregasChelseashirt_3156901.jpg

Cesc Fabregas: Spain midfielder has left Barcelona to join Chelsea

Sky Bet
[h=4]Football Betting[/h] [h=4]Up To £30 Free Matched Bet[/h]

Chelsea have signed former Arsenal midfielder Cesc Fabregas from Barcelona on a five-year deal.
The 27-year-old had been told earlier in the summer that he was surplus to requirements in Spain, leading to speculation he was about to return to the Premier League.
Arsenal inserted a clause in the deal that took him to the Nou Camp in 2011 that gave them first option to re-sign the player.
Cesc-Fabregas_3153825.jpg

"I considered all the other offers very carefully and I firmly believe that Chelsea is the best choice. They match my footballing ambitions with their hunger and desire to win trophies."
Cesc Fabregas

But the Gunners decided not to take up that option and Chelsea have secured a deal for Fabregas, who is currently with the Spain squad at the World Cup.
"Firstly I would like to thank everyone at FC Barcelona where I enjoyed three wonderful years," said Fabregas.
"It was my childhood club and I will always be proud and honoured that I had a chance to play for such a great team.
"I do feel that I have unfinished business in the Premier League and now is the right time for my return.
"Yes, everyone knows that Arsenal had the first option to sign me. They decided not to take up this option and therefore it wasn't meant to be. I wish them well in the future.
dLRziTUxTwUwW5L34xMDoxOjBkMTt9RT

Cesc Fabregas describes how Spain went from being underachievers to winning three major tournaments in a row.

"I considered all the other offers very carefully and I firmly believe that Chelsea is the best choice. They match my footballing ambitions with their hunger and desire to win trophies.
"They have an amazing squad of players and an incredible manager. I am fully committed to this team and I can't wait to start playing.
"It was extremely important to me that this transfer was completed before the World Cup so that my mind will only be focussed on hopefully helping my country try to retain the trophy."
Barcelona confirmed the deal in a club statement which thanked the player for his three years at the Nou Camp.
The statement said: "FC Barcelona wishes to publicly thank Cesc Fabregas for his professionalism and dedication during his years at the Club, which will always be his home, and to wish him all the very best for the future."
Barcelona have already moved to replace Fabregas in their squad having agreed terms with Sevilla for Croatian Ivan Rakitic.
 
Ntuzu na agost 8 njooni mniambie tofauti ya kiuchezaji kati ya fabregaz na mata... Na kama wanafanana je, kwanini kamuuza mata na kumnunua faby?
 
Tofauti Ni nyingi tu Mkuu haiitaji kuelezea Kwasababu naelewa wewe Ni mdau Wa soka NA unamfahamu vzr Faby NA Mata pia! Kwahiyo wewe subiri uje uione shughuli Yake uwanjani ndo utamlinganisha NA Mata kwa muda huo!

Faby Na Mata wana tofautiana sn! Kila mmoja unaweza ukamuelezea uwezavyo! Lkn Ngoja tusubiri shughuli Yake uwanjani Ndio tumlinganishe NA Mata!
 
Chelsea mpaka muda huu mna goli 1 fifa 2014 naona mnajickia faraja sana cc Ntuzu agosti 8

Jana nimeangalia mpira kwa hamu ya kumuona D. Luiz akifanya kosa lakini wapi! Lile own goal kwa haraka nilidhani ni Luiz..kidogo niruke kwa furaha. I was looking for a reason ya kumchukia na kusema ni afadhali ameondoka (liability) ila jana kacheza vizuri sana aisee...inaniuma sana kumuona akiondoka!

Ni bonge la figure in and out the field!
 
Ntuzu na agost 8 njooni mniambie tofauti ya kiuchezaji kati ya fabregaz na mata... Na kama wanafanana je, kwanini kamuuza mata na kumnunua faby?

FABREGAS NI COMPLETE MIDFIELDER.
MATA mzuri lakini hafikii uwezo wa Fabregas, Mata anacheza nafasi ya OSCAR EMBOABA, ambaye shughuli zake jana sina haja ya kuzitaja taja hapa jamvini; nadhani umeona kwamba MOURinho alikuwa sahihi kumwacha MATA aende. Oscar anatosha kabisa..

Hapa Oscar, pale Fabregas na Hazard, mbele kidogo COSTA, mtatuchukia sana msimu ujao jamani.
 
hukuangalia kazi aliyofanya playmaker OSCAR?

ni vizuri kuwa fare, CROATIA hawakushambulia kwa nguvu; ngoja kuna mechi za kumpima LUIZ kaka..umesahau CHELSEA FC tulipofungwa na ATM 4-1 kwenye super cup?

Luiz huwa on and off..kila mtu anajua hilo. lakini hukatazwi kumshabikia kaka.
for me Terry na Cahill the best partnership.:israel:
Jana nimeangalia mpira kwa hamu ya kumuona D. Luiz akifanya kosa lakini wapi! Lile own goal kwa haraka nilidhani ni Luiz..kidogo niruke kwa furaha. I was looking for a reason ya kumchukia na kusema ni afadhali ameondoka (liability) ila jana kacheza vizuri sana aisee...inaniuma sana kumuona akiondoka!

Ni bonge la figure in and out the field!
 
i hate this......

Premier League: Chelsea secure deal for ex-Arsenal midfielder Cesc Fabregas

Last Updated: 12/06/14 5:17pm

77

CescFabregasChelseashirt_3156901.jpg

Cesc Fabregas: Spain midfielder has left Barcelona to join Chelsea

Sky Bet
Football Betting

Up To £30 Free Matched Bet

Chelsea have signed former Arsenal midfielder Cesc Fabregas from Barcelona on a five-year deal.
The 27-year-old had been told earlier in the summer that he was surplus to requirements in Spain, leading to speculation he was about to return to the Premier League.
Arsenal inserted a clause in the deal that took him to the Nou Camp in 2011 that gave them first option to re-sign the player.
Cesc-Fabregas_3153825.jpg
"I considered all the other offers very carefully and I firmly believe that Chelsea is the best choice. They match my footballing ambitions with their hunger and desire to win trophies."
Cesc Fabregas

But the Gunners decided not to take up that option and Chelsea have secured a deal for Fabregas, who is currently with the Spain squad at the World Cup.
"Firstly I would like to thank everyone at FC Barcelona where I enjoyed three wonderful years," said Fabregas.
"It was my childhood club and I will always be proud and honoured that I had a chance to play for such a great team.
"I do feel that I have unfinished business in the Premier League and now is the right time for my return.
"Yes, everyone knows that Arsenal had the first option to sign me. They decided not to take up this option and therefore it wasn't meant to be. I wish them well in the future.
dLRziTUxTwUwW5L34xMDoxOjBkMTt9RT

Cesc Fabregas describes how Spain went from being underachievers to winning three major tournaments in a row.

"I considered all the other offers very carefully and I firmly believe that Chelsea is the best choice. They match my footballing ambitions with their hunger and desire to win trophies.
"They have an amazing squad of players and an incredible manager. I am fully committed to this team and I can't wait to start playing.
"It was extremely important to me that this transfer was completed before the World Cup so that my mind will only be focussed on hopefully helping my country try to retain the trophy."
Barcelona confirmed the deal in a club statement which thanked the player for his three years at the Nou Camp.
The statement said: "FC Barcelona wishes to publicly thank Cesc Fabregas for his professionalism and dedication during his years at the Club, which will always be his home, and to wish him all the very best for the future."
Barcelona have already moved to replace Fabregas in their squad having agreed terms with Sevilla for Croatian Ivan Rakitic.

FABREGAS bwana, yaani hata ARSENAL hana shida nao...kwi kwi kwi..🙂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom