DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,871
ni moja kati ya vijana wasikivu kabisa,namkubali sana huyu kwani unachomtuma ndio anatekeleza,big up andrey!wewe ni msikivu kama serikali sikivu iliyopo madarakani tz
Mkuu agosti nimefurahi sana kuona ni namna gani usajili wa chese unaenda vizuri tena kwa umakini mno,ingawa kuna tetesi pogpa anaweza kutua darajani
ni moja kati ya vijana wasikivu kabisa,namkubali sana huyu kwani unachomtuma ndio anatekeleza,big up andrey!wewe ni msikivu kama serikali sikivu iliyopo madarakani tz
Kama ulivyosema mkuu chilumendo, hizo ni tetesi tu. Tunasajili ki-mkakati msimu huu. Sasa Pogba aje afanye kazi gani pale?
Lampard katoka tumeweka FABREGAS.
# 9 ni tatizo kubwa, DIEGO COSTA analetwa.
kIPA wetu THIBAUT COURTOIS sasa anarudi nyumbani.
tunahitaji tu beki wa kushoto, ..:cool2:
Nadhani hakuna timu ingekataa ofa ya $ mil.50 kuumuaza luis ile ni faida kubwa kwa timu ukizingatia timu ina wachezaji mbadala wa nafasi anazocheza david yupo cahill,Terry,Matic etc
Kwa maoni yangu chese hawakumuuza Luis kwa sababu ya udhaifu wa david bali ofa ilikuwa nono kuikataa wakati mchezaji anaanzia bench katk baadhi ya mechi.Man utd walimuuza ronardo kwenda madrid sio kwa sababu ya udhaifu wa mchezaji bali ilikuwa ni ofa nono iliyotolewa na madrid tukumbuke kuwa wenzetu mpira ni biashara kwa upande mwingine
unachosema mkuu ni kweli lakini wakati mwingine unapokuwa na wachezaji wenye viwango vya dunia ili kuongeza thamani ya club
unachosema mkuu ni kweli lakini wakati mwingine unapokuwa na wachezaji wenye viwango vya dunia ili kuongeza thamani ya club
ni moja kati ya vijana wasikivu kabisa,namkubali sana huyu kwani unachomtuma ndio anatekeleza,big up andrey!wewe ni msikivu kama serikali sikivu iliyopo madarakani tz
Wadau njooni mtetee mchezaji 'wenu'..
Duh una moyo wewe. Hebu tuache kwanza tupumue
Jana nimeangalia mpira kwa hamu ya kumuona D. Luiz akifanya kosa lakini wapi! Lile own goal kwa haraka nilidhani ni Luiz..kidogo niruke kwa furaha. I was looking for a reason ya kumchukia na kusema ni afadhali ameondoka (liability) ila jana kacheza vizuri sana aisee...inaniuma sana kumuona akiondoka!
Ni bonge la figure in and out the field!