mwenemti
JF-Expert Member
- Feb 15, 2014
- 309
- 59
habari hzi zimenisikitisha sana. ni mara mia angeuzwa Matic. kwangu mimi nilipenda D. luiz akicheza kati kuliko beki..ila ndo hivyo tena.
mimi naona sawa jose kumtoa luiz,kwani kwetu beki sioshida sana tatizo lipo kwa playmeker na forward.