Blac kid, kwa sasa hakuna timu inapenda kukaa bila mataji kwa muda mrefu. Hata Man Utd ndo maana wamemfukuza D.Moyes.
Hata Man City walimfukuza Mancini wakaleta MP, kwa hiyo kufukuza kocha ndo utamaduni wa sasa.
BACK TO THE TOPIC hata LIVERPOOL si wavumilivu hata kidogo; unakumbuka jinsi wamiliki kina Tom Hicks yaliyowapata wakati LFC iliposhindwa kufanya vizuri?
Nakukumbusha Blac kid.
![]()
Fukuza fukuza haikatazwi Moyes alistahili kabisa kutoka bingwa hadi no.7 inamana hata europa hawashiriki hapana huwezi kuvumiliwa, lakini chelsea mpaka manager analeta kombe la ucl bado anafungashiwa virago, fukuza ya namna hii siiungi mkono!